gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,045
Akimpinga diwani kwa hoja na vifungu vya sheria bila blah blah na mahaba yake kwa rais nitag mkuuhivi umesoma ukaelewa kweli?ni wapi alipotetea bangi?ni mkuu wa nchi gani Tanzania aliye juu ya sheria?
Hakuna sheria inayomkataza mwananchi kuhoji na kukosoa mamlaka,hakuna,zaidi sana sheria nyingi mantiki yake ni mamlaka kuheshimu wananchi waliowaweka madarakani.
Diwani amekosoa agizo la rais kwa kutumia sheria,akitetea wananchi wake,na wewe mkosoe diwani kwa sheria.