Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 767
- 1,213
..umetokea shimo gani?Hiyo ni ishara tosha kuwa viongozi wa CDM ni wakorofi, wasio na uvumilivu na vinara wa fujo
..umetokea shimo gani?Hiyo ni ishara tosha kuwa viongozi wa CDM ni wakorofi, wasio na uvumilivu na vinara wa fujo
aidha sijakuelewa
hawa ni viongozi they are model in the society
amejidhalilisha yeye na amekichafua chadema
hilo la kawaida tu kimaisha. Na wala haikuitaji utaje neno chadema.
Duh Mbona Wanachomana wao kwa wao! Mkurugenzi wa mafunzo anamchoma diwani!! Jamani acheni kuchomana.
Yaani na huyu diwani alichomwa na hakusikia kuwa kisu kimemchoma hadi anakigusa.
Pole diwani.
Mungu ailaze roho ya marehemu peponi. Dah Uchaguzi mwingine tena na vurugu nyingine tena zikiandamana na uchakachuaji mwingine na Blah Blah zingine tena!!Taarifa za kuaminika ni kwamba Diwani wa kata ya madizini Bi Tuse amefariki dunia leo mchana. Chanzo cha kifo ni kwamba alichomwa kisu mbavuni siku ya xmas na aliyekuwa mchumba wake, ambae baadaye bi Tuse alikataa jamaa kumposa ndipo jamaa akaamua kuwa bora akore na Tuse akose. Mungu amlaze pema peponi. Amin