Diwani aliyechomwa Kisu afariki dunia

Mmmmh inasikitisha kuwa huyu amefariki baada ya kuwa alikuwa mzima kiasi cha kuweza kuhadithia kilichomsibu alipokuwa hospitalini


Diwani wa kike wa CCM amekufa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake na diwani wa CHADEMA wa kiume amekufa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake. Interesting
 
Diwani kupitia CHADEMA (Morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa CHADEMA Diwani kalazwa hospitalini na Mshikji wake kakimbia !!

My take:
Hii inaashiria nini ?

SOURCE magazeti ya leo

Hebu njoo taratibu! Kachomwa na kisu sawa ila sasaaaa Amekufa au amelazwa hospitali mbona kama sijakuelewa?
 
huku kudaiana kwa wapenzi ni balaa ivi

asee mpaka leo kuna binadam anathubutu
kumuua mwenzie ajili
ya mapenzi?!
Nope kwanza mtu anakisaliti unamkuta
na mtu mwingne ni dhahiri hakupend mkachomane visu muuane kisa???
 
Back
Top Bottom