Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,000
Hureeeeeh!
MUNGU aweke roho yake anapo ona inafaa!
MUNGU aweke roho yake anapo ona inafaa!
Naam ndo huyo.
Labda alishatubu wewe unabakia unashikia bango huku shetani anakushangaa
Kutubu bila kurudisha kura ulizoiba haisaidii. Unatubu halafu unaendelea kukalia kiti!!!!!!!!!
Ndio huyu ni Diwani wa CDM ambapo alichomwa kisu na mpenzi wake ambae ana cheo cha Mkurugenzi wa Mafunzo CDM TAIFA VIJANA kama cjakosea na anatoka Kilimanjaro
Mungu amlaze pema Peponi (Amin).
kama aliiba kura basi mungu amlaze mahali anapostahili!!!Hata kama aliiba kura??!!
Poleni familia na wanachadema