Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,783
- 92,277
Cc: Malcom LumumbaCC Malcom Lumumba
Degree hawezi..ajaribu diplomaD
E
E
Degree hawezi..ajaribu diploma
Yaah,ilibidi akaze walau awe na D mbilimasikini, Dogo anavyolilia hapa. Hakuna namna ilimpasa akaze
Yaah,ilibidi akaze walau awe na D mbili
Pia angalia muongozo wa TCU wa udahili ili upate uhakika mkuuau awe na DDS
Asahau medicine wala pharmarcy. Aanzie diploma huyo.
sijui ushindani sikuhizi. Miaka yetu kuna mtu alipata Medicine KCMC. asiwaze Muhimbili tu. ajaribu vyuo vingine kama Ifakara, Bugando, Peramiho na Vya private. Akishindwa basi apige Clinical officer kisha atajiendelezaga.
Pia angalia muongozo wa TCU wa udahili ili upate uhakika mkuu
Kwa PCB wengi vile kwenye top ten. Kutakuwa na ushindani mkali sana.Hata mimi sijajua ushindani wa sasa mkuu. Zamani ufaulu huo mtu hafikirii kabisa
Degree unaenda ,lakini kwa program yenye ushindani kama medicine utapata shida kidogo but jaribu vyuo kama St Francis na vinginevyo utapataHabari wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza, Hivi msichana mwenye Divisheni 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB anaweza kuchaguliwa kwenda chuo kusomea degree
Ikiwa ndio, je anaweza kukubaliwa kwa kozi zipi?
Yeye anapenda kusomea kozi ya Ufamasia au Medisini.
msaada wa haraka unahitajika