Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
Habari wakuu

Bwana mdogo kapata div 1 ya 9 pccb ana C flat anaweza chaguliwa chuo cha serikali Course y medical officer??
 
Medical officer ukiwa unamaanisha Md au??..kama ndo hivyo kwa Muhas ni vigumu sana,udom pia competion itakuwepo labda hapo ndo pana uwezekano
 
Huenda hipo au nimekosea,sio mbaya pia sababu sina uzoefu na haya masuala nime specialize ktk managment.
 
Huenda hipo au nimekosea,sio mbaya pia sababu sina uzoefu na haya masuala nime specialize ktk managment.
Medical officer ni kazi... Ila watu wa pcb nadhani huwa wanasomea program za afya ambazo huwa naziskia skia bongo ni medicine(utabibu),pharmacy(madawa) na nursing(uuguzi) kwa degree na diploma ila naamini ziko nyingi zaidi. Me pia nimesoma social sciences haya mambo naskia tu.
 
Kwan kinachozingatiwa ktk admission ni tofauti ya division mfn 5,6,7 n.k au kutimia kwa vigezo?? Ambapo watachaguliwa kwa kuchanganywa mwenye one ya tatu na one ya 9
 
Ahsante Mr. Ngoja tujaribu,nimetizama idadi ya wanaohitajika nikapata ofu, udom nafasi 20, muhas nafasi 10 kwa level ya MD
 
Back
Top Bottom