Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

Kwe
div one Muhimbili anapata MD bila wasiwasi
Ni kweli, wapo watu hapo waliingia ha hizo pointi 9. Ct off point zao ni 10. yaani C, C, D.
Si PCB wote wanapenda MD, wengine wenye pass kubwa wataena Veterinary Medicine, wengine watasoma nje ya nchi nk. Point 9 ya C flat si mchezo! Nampa hongera! hata hivyo mabanda kwenye PCB mwaka huu si mengi.
 
Hata one ya nane kupata MD muhas ni kazi..watu kibao wana one za tano,na capity haizidi wanafunzi 180
Si kweli maana si kila mtu mwenye ufaulu mzuri PCB ana malengo ya MD. Kuna wengine na tatu zao wanapenda Laboratory au Pharmacy. Mwacheni dogo ajitose!
 
One zipo nyingi sana, so competition ni kubwa pia..Mwambie aombe tu Muhas,kila mtu na bahati yake
 
PCCB course mpya hii...
Kama ulimaanisha PCB basi size yake ni UDOM (Chuo cha Kata) tu, asijisumbue kuomba MUHAS

Ni kama vile PCM mwenye point 9 kuomba Petroleum ya CoET pale, atakua anatwanga maji kwenye kinu.
Hahahaha...hata nikiwa na div III siwezi kuomba kozi hii kwa sasa...!! Samahani lakin
 
Inategemea na ushindani uliopo,kuna vijana wamefaulu vizuri sana miaka hii PCB ufaulu umepanda sana.
 
Kama jambo muhimu tu la Kuandika PCCB badala ya PCB linakushinda sidhani kama hiyo Kozi ya Medical Officer itakufaa. Umeonyesha ' udhaifu ' wako wa Kitaaluma mapema mno.
We siamekwambia hayuko specialized na hayo mambow mbna ujuaji mwngi sana burazaaa
 
Back
Top Bottom