Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

Medical officer ni kazi... Ila watu wa pcb nadhani huwa wanasomea program za afya ambazo huwa naziskia skia bongo ni medicine(utabibu),pharmacy(madawa) na nursing(uuguzi) kwa degree na diploma ila naamini ziko nyingi zaidi. Me pia nimesoma social sciences haya mambo naskia tu.
Md sio utabibu..clinical officer ndo tabibu
 
Kwan kinachozingatiwa ktk admission ni tofauti ya division mfn 5,6,7 n.k au kutimia kwa vigezo?? Ambapo watachaguliwa kwa kuchanganywa mwenye one ya tatu na one ya 9
Wanaanza kuchukua 3,4,5,6,7,8,9,10..sasa tatizo ni kwamba wanahitajika wachache tu,na wenye 3,4,5,6,7 wapo wengi
 
PCCB course mpya hii...
Kama ulimaanisha PCB basi size yake ni UDOM (Chuo cha Kata) tu, asijisumbue kuomba MUHAS

Ni kama vile PCM mwenye point 9 kuomba Petroleum ya CoET pale, atakua anatwanga maji kwenye kinu.
Bado watu wanafikiria kusoma petrolium?
 
Aisee Mkuu apo siwezi kukupatia jibu lenye uwakika cha muhimu tusubilie vigezo ambavyo vitatolewa na TCU au Vyuo husika! Maana kiwango cha ufaulu kimeongezeka bilashaka ushindani utakuwa mkubwa tena sana!
 
Ile dhana ya kusisitiza wanafunzi wapende masomo ya science inakua haina maana yoyote kama wanakosa mahali pa kuwapeleka.
Acha kulia lia chuo sio muhas tu yani waachwe wenye 3,4,5,6,7,8 wakuchukue wewe mwenye 9 btw Kwa PCB bwana mdogo amekaza mno na usianze ku mdiscourage na Mentality zako za kutaka muhas muhas tu dogo acha aombe KCMS au Bugando its good universities too
 
Mkuu wewe na mdogo wako msikariri mambo, vyuo vipo vingi vizuri tu ambavyo anaweza kusoma hiyo MD kwa huo ufaulu wake, sio lazima asome muhas. Mwisho wa siku hata usome muhas,udom,bugando,kcmc bado utaishia kuwa daktari yuleyule with the same specifications, hatutawatenga kwa vyuo walivyosoma.
 
Back
Top Bottom