Divine matrix under entangled reality

Mkuu lifecoded nitawezaje kukontroll nature?
 
Mkuu, you have nailed it.

"acients hide the unseen forces that hold everything within this universe and these forces were hidden by symbols"

Hapa kila siku watu wanauzunguka kuhusu siri za kushirikina zilizopo ktk mbio za mwenge wa uhuru. Lakini tupo wengine wachache tunajaribu kila mara kuamsha shahuku juu ya "alpha pavo" ama "peafowl" yaani ndege wa kifahari tausi lakini watu hawawaonyeshi kutaka kuamsha mijadala mipana ya kusaka maarifa mapya.
 
Kuna mambo mengi mpaka akili inagota✊✊
 
Mkuu ebu type kwa uchache kuhusu Tausi
 
Kumbe unampata Mantak Chia
 
Thanks for the nice knowledge
I appreciate it lifecoded
 
Tupunguze matumizi ya fluoride
 
Post in thread 'Nyerere and Nkrumah: Towards African Unity' Nyerere and Nkrumah: Towards African Unity
 
Habari zenu wakuu

Nahitaji msaada juu ya namna ya kupata spiritual enlightenment and connect my self with the laws of the universe and my soul families as well
Kuna vitu vingi nimejifunza na manufaa yake nimeyaona isipokuwa tu nimekosa guidlines za uhahika

Kwa yeyote anayefahamu haya mambo tafadhali naomba tuwasiliane hata kwa PM ikiwezekana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…