Divine matrix under entangled reality

Divine matrix under entangled reality

Yeah.... ya kale ni dhahabu......... wengine ndio kwanza hata mwaka hatujamaliza jf
Kulikuwa na nondo sana jf miaka ya 2010-2020 kuna watu walikuwa deep sana I missed those days ,japo kuna wengine walisepa na nyuzi zao wakaomba zikafutwa
 
Duh.... kumbe wewe ni wa kitambo humu mkuu... wengine hiyo miaka ndio tulikuwa chekechea
 
Duu kitambo sana mm nimeingia huku 2012 saizi tunapotea nakurudi nikiwa mdogo kabisa na blackberry za ku scroll in short sikuwa na social media zaidi ya jf kulikuwa na madini mabroo wanajua uspime yaani hoja kwa hoja ,kama vituko navyo unaweza onekana mwehu saizi wengi wazee
 
Hakika......... tuishi humo humo tu!
 
Back
Top Bottom