Diversity Visa (DV Lottery) 2019

DIBAJI

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
388
505
Ndugu wadau Fursa imefunguliwa tena kwa mwaka huu, kwa wale wote wanaotamani kucheza mchezo wa green card lottery wakati ndio huu. Droo imefunguliwa kuanzia Leo tarehe 03/10/2017 mpaka tarehe 07/11/2017 hakikisha unaweka detail zako zikiwa sahihi bila udanganyifu wa aina yeyote, kwa maelezo zaidi unaweza kuangalia audio ya kiswahili ktk link hapa chini.
 
Naombeni msaada jamani ntafanyaje endapo jina la vyeti vyangu vya shule viko tofauti na jina la passport kuna herufi zimekosewa.
 
Ndugu wadau Fursa imefunguliwa tena kwa mwaka huu, kwa wale wote wanaotamani kucheza mchezo wa green card lottery wakati ndio huu. Droo imefunguliwa kuanzia Leo tarehe 03/10/2017 mpaka tarehe 07/11/2017 hakikisha unaweka detail zako zikiwa sahihi bila udanganyifu wa aina yeyote, kwa maelezo zaidi unaweza kuangalia audio ya kiswahili ktk link hapa chini.

mkuu link tunaomba
 
upload_2017-10-16_12-30-20.png
upload_2017-10-16_12-30-20.png the web is down for maintenance for more than 7 days now.
 
Wametoa tangazo kuwa itafunguliwa rasmi kuanzia tarehe 18/10/2017 mpaka tarehe 22/11/2017 wale wote waliokuwa wameomba kuanzia tarehe 3 mpaka 10 mwezi huu wanaombwa kurudia tena maombi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wametoa tangazo kuwa itafunguliwa rasmi kuanzia tarehe 18/10/2017 mpaka tarehe 22/11/2017 wale wote waliokuwa wameomba kuanzia tarehe 3 mpaka 10 mwezi huu wanaombwa kurudia tena maombi.

Kama sina passport mkuu
 
Back
Top Bottom