Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source


Unamaanisha kwamba Utamu wa Pipi Mate ni yako mwenyewe?
 
Wanawake wacheze vizuri wakiwa 18 - 25 maana at 22 ndio Binti anakuwa kwenye ubora wake,Katika Age hiyo akicheza hovyo karata zake atakuja kuishia kuwa kama wakina DIVA,WEMA,UNYOYA,SHANGAZI EZEKIEL,WOPA etc AKishacheza karata vibaya kwenye umri wa 18-25 basi nafasi ya pili ya kujirudi na kujitunza/Kujimaintain/Kujing'arisha basi ataenda hadi 30 akishavuka 30 basi ajiandae kwa UZEE....Kwa Mwanaume ukishafika 45 basi ushazeeka.
 
Kwa umri wao hao uliowataja na huyu vijana hujitahidi kuwakwepa.Ukiona hawa wakiwa na wapenzi mara nyingi huwa ni na watu wazima tu ambao huwachezea na kuwatupa huko Sio wa kuwaoa.Kuna umri mwanamke ukifika Kama ulivyosema hata ajipodoe vipi akeshe saluni mwili huendesha mgomo wa kukataa kukubali kuwa uonekane haujazeeka.
 
Kabisa Wanawake wanawahi Kuzeeka!!
 
Bila makeup na mawigi bongo wote ni masela mbona.....
Saluni zinaficha mengi siku mfano zipigwe marufuku na hayo mawigi utashangaa Wanawake vikongwe wenye sura mbaya walivyo wengi kwenye nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…