Na hii ni mojawapo ya mbinu tunakutana nazo sana maofisini, yaan
1. Wenye chao wamekuchoka na hawakutaki ndio hivyo usha expire wanataka ingizo jipya.
2. Kuku chana live wanaona sio labda kwasababu ya reputation yako na legacy uliowajengea plus mazoea na kuheshimiana kutokana na kufanya naobkwaz kwa muda mrefu.
Sasa basi wanakuondoaje waswahili?
Wanaanza kukutengenezea mazingira ya frustration nzito nzito za mara kwa mara ambazo u cant bear, na hiz wanazi channel kwenye utaratibu wa kikazi kabisaa kiasa kwamba huoni mtu personally kasimama on your way against you (mpaka uchimbe sana yan ndio utajua chanzo cha shida zote).
Basi wewe mwenyewe unaona isiwe tabu, acha nitembee zangu.
Unakuja na uamuzi wa kuacha kazi, basi watu wanashtuka kinafki nafki pale but hawakupi chance kusema nenda ufikirie kisha urudi tena tuzungumzee ....hahahahahaha.
Jua tayari.
UNAONA KAMA UME STAND FOR YOUR DECISIONS kumbe umejaa kwa 18 zao.
THEY INFLUENCED, PREDICTED AND EXPECT YOUR MOVE.
chaliiiiiii