DIT VS COeT, UDSM!

mdogo wangu hata kama umetoka Atc na unapendelea kwenda Udsm ni vizuri sana haina ulazima sana kuendelea na dit or mist, kuna jamaa wawili walitoka Atc nili graduate nao electro-mechanical engineering pale Coet japo walisoma electrical(atc) na ufaulu wao ulikua mzuri sana(GPA) kutuzidi sisi fresh from form six, mlimani utajifunza mengi zaidi na zaidi.pia mambo ya Ict i mean telecom eng, comp eng and inf tech hatipo tena coet zipo CoCIT.

vp kuhusu miaka?ntapga mitatu au minne ka six?
 
SASA tele na comp eng and IT wapo CoICT kaka,we are no longer COET,mi nipo hapa COICT,nakushauri njoo hapa udsm japo DIT nawakubali kinoma ila anayesema udsm ni law tu ni mlevi!njoo uone vifaa kibao we still at the top hata kipofu anajua!
 
no! Cjasoma pale mkuu,kuna washkaj zangu wamegraduate pale mwaka huu,civil&mech. Wapo kwnye ajira tayari,

acha uongo kaka... Am workin with Barrick ma frnd, we have a pgm of recruitn graduate called EIT... Tumekuwa 2kichukua wanafunz wa COET especialy Geology na Chemical n procesn Eng.. Most of them are very gud... Uzuri wa m2 ni IQ ni kwa jins gani he can come out wit soln frm a pbm... Degree level its nt more on mechanical, hyo ki2 2nawaachia vyuo vya ufundi bt its more on THINKIN CAPACITY at da same tym ur aware of the whole system so u may cm out wit a ryt Soln.
 
Sory the magn. Nimereply kwako kwa bahat mbaya.. Kuna aliye sema minin sector inachukua sana wa2 wa dit ndo nlikuwa namjibu.
 
Dogo kimsingi sio chuo lakn lazma uangalie pass zako kisha amua uende chuo gan. Ukiwa juu sana nakushauri UDSM ili uweze ku-compete thoroughly. Pale COICT ubora unapata kwa juhudi zako mwenyewe.. Kuna wanaomaliza kapa lakn wengi wako technically very good. Pia dit ile ni implementors college while udsm utadesign.
Lakn kuhusu field Comp Eng ipo juu sana pale UDSM na ukiona unique creation nyingi sana. Nakushauri Comp Eng coict udsm uende. U wil b the best if u want to.
Akina gates, tovalds, jobs, de icaza, paul allen hawana degree bt they ar outstandin in tech industry!
 
I am a graduate from COET, currently working on my graduate program in a foreign country! Nimekuja kukubali baada ya kutoka COET kuwa nilikuwa napata kile nachotakiwa japo matatizo ya hapa na pale hayakosekani. Ukiwa COET utaweza kujifunza mambo zaidi yanayohusu field yako unaweza kuona longo longo ukiwa unasoma lakini ukishatoka hapo utaona jinsi itakavyokulipa.
DIT ipo na itaendelea kuwepo kwa sababu iliundwa kukidhi mahitaji fulani ila kutokana na mahitaji kupanuka/kuwa ya juu zikiwemo siasa basi ilibidi waanze kutoa BEng which is good also lakini bado wana changamoto ya mitaala yao kuibadili kutoka kwenye FTC kwenda BEng kama ilivyo kwa COET wanavyoweweseka kuibadili baadhi ya mitaala kutoka Bsc-Eng kwenda kwenye Msc-Eng.

Ukichanganya na za wadau hapo juu pamoja na za kwako, utapata dhahabu ya kuamua uende wapi, lakini pia kama unapenda kusoma soma kama mimi hapa basi angalia factors zingine upande umaarufu wa chuo ndani ya bara letu na duniani kwa ujumla.
 
thanx kaka!
 
i realy get u!
Thanx so!
 
wote wananokushauri hapo wamesoma dit na kumbuka mwamba ngoma huvutiakwake!

leo ungeuliza kati ya ud na mzumbe ungesikia, Mzumbe is the best university for law!

nimesoma dit 'it' 2004, then masters of udsm and currently am tuitor open kwa mtizamo wangu UD is still the best though kuna challenge nyingi
lakini u have to agree with me.
 
hey usikipigie debe UD kuhusu eng ya pale....watu wa pale technically hawana lolote yani wao ni GPA tu sasa si wangesoma economics kama wanataka makaratasi,sisi tunahitaji mafundi na kwa Dit ndo mahali pao.
 
kwa hyo koz gan ni nzur kwa eng?

mdogo wangu mi ni graduate wa electro-mechanical eng kwa upande wangu hiyo ndio programme nzuri, utapewa ideas za electronics, mechanical electrical pia utakua ni mtaalam wa mitambo ya aina yoyote viwandani na ma-hospitalini, mambo ya robot utasoma sana, magari, mpaka ndege.kwenye ajira akihitajika mtu wa umeme una play part pia mechanical.hii program kipindi nasoma ilikua mlimani tuu tanzania nzima,so kama unapenda uhandisi nakushauri uende kwenye hii programme.
 
Dogo nenda DIT,coet hamna kitu.

Watakudanganya sana, % kubwa ya waalimu wa DIT ni graduates wa COET (UD) tafakari mwenyewe. Hata sa hivi bado DIT inachukua COET graduates as lecturers more than DIT graduates.
Nimesoma vyuo vyote 2.
Najua umeleta hii topic kishabiki ila ukweli unaujua.
Mbao hawakusoma UD siku zote huwa wanaiponda bila justification zaidi ya ushabiki tu.
 
BSC vs BEng
The difference between a BSC and a BEng.
BSC actually stands for Bachelor of Science, while BEng stands for Bachelor of Engineering. A Bachelor of Science degree is commonly recommended for any college degree that requires a student to complete three to five years of education. It is the most common bachelor's degree title, and it is provided by most universities and colleges. In fact, many colleges and universities will refer to all their programs as Bachelor of Science degree programs. On the other hand, BEng is an undergraduate degree, that is awarded to a student who completes an engineering academic program, which lasts anywhere between three to five years. This bachelor's degree award is commonly used for undergraduate college degrees in colleges and universities in Australia, China, Germany, New Zealand, Singapore, the United States and the United Kingdom. Another difference between a BSC and a BEng undergraduate degree, is the academic program that the students undergo for three to five years. BSC degrees are usually theoretically based. This means that most, if not all, of the courses that they would need to complete in the program, involve the use of research, and the proper understanding and analysis of theories and principles that are presented in textbooks, journal reports and past experiments. This includes engineering courses that are considered as Bachelor of Science degree programs. While there are certain laboratory courses that the student needs to complete, these are often done in controlled environments, in order to prove and give the students a further understanding of the theories and principles discussed in class. On the other hand, BEng undergraduate degree programs are more practically oriented. They are the complete inverse of BSC degree programs. Here, students do introduce and familiarize themselves to theories and principles, but the bulk of the academic program is concentrated in applying these theories and principles in a practical manner, which would help them be more prepared when they go and join the corporate world.

Summary
1. BSC and BEng courses are undergraduate degree programs awarded to a student (by a university or college), who has completed an academic program that lasts anywhere between three and five years. 2. BSC is an abbreviation which stands for Bachelor of Science. On the other hand, BEng stands for Bachelor of Engineering. 3. BSC focuses more on theories and principles, while BEng focuses more on practical application.

Read more: Difference Between BSC and BEng | Difference Between | BSC vs BEng Difference Between BSC and BEng | Difference Between | BSC vs BEng
Msiongee bila kufanya utafiti!
ALWAYS REMEMBER"A SKILLED HAND HAS AN INNOVATED MIND!
THINK TWICE AND TAKE ACTION!
WE NEED GREAT THINKERS!
 
Difference Between BSC and B. Eng

A 10+2 pass student takes admission in college to complete the graduation in a favorite stream. There are many courses classified as arts, science, engineering, and law, medical and so on. There are many subjects offered at the graduation level such as humanities, physics, chemistry, biology, psychology, economics etc. A student chooses the subjects of his interest. A student who is interested in science subjects choose subjects like Physics and Chemistry. Then it is called B.Sc. or Bachelor of Science. A student after 10+2 may go for B.Eng. or Bachelor of Engineering. If student has the aptitude for engineering, he opt for B.Eng. There are many differences between the two in respect of duration, content and scope.

B. Sc.

B.Sc. is a graduation degree. It is awarded by most of the colleges and universities. It is an academic degree which provides the in-depth study of science subjects. The content in B.Sc. is theoretical in nature. The course content is comprised of practical sessions which provide the students experience of basic science concepts. It is an academic degree and not an applied one. B.Sc. is a general degree and an eligibility of a post graduation course in science called M.Sc.

B. Eng

B. Eng. is an applied science. It stands for Bachelor of Engineering. It is an attractive field nowadays. It is a guarantee of job and a good career. It is a specific branch of knowledge in which students gain the knowledge of a particular ethnological field. Thus it is a technical degree unlike B.Sc. which is a pure academic degree. Generally it takes three years divided into a few semesters. In a few universities, this course takes four years to complete it. The admission in a B.Eng. course is done on the basis of an entrance test.

The differences are many between them. B.Eng. is an applied science while B.Sc. is an academic degree. There is difference between the contents. B.Sc. includes subjects like physics, chemistry, biology, mathematics, zoology etc. which provide in-depth knowledge of sciences. On the other hand B.Eng. provides knowledge of specific technological field such as mechanics, civil engineering, electronics and electrical, information technology etc. There is difference between the two regarding the admission procedure.
BSC vs. B. Eng | The Difference Between
WANAOSOMA Bsc WANAJIJUA,WANAOSOMA Beng WANAJIJUA NI JUKUMU LA WANAOTAKA KUSOMA WAAMUE WAPI WANATAKA KWENDA KUSOMA!
TUFANYE UTAFITI WANA JF WALIOSOMA Bsc Then watakuwa na majibu ya kutosha na mazuri,
Mimi ni Beng from DIT!
 
Nimekuelewa man from bonde!
Nafikiri majibu yatakuwepo,nafikiri hata mgawanyo wa kimajukumu ktk kada hizi ie Bsc na Beng inawezekana yakawa tofauti,hemu tufuatilie zaidi ili tujue zaidi
Keep it up man!
 
Dit nzuri lakini kwa soko sasa lilivyo bora ukasome civil au electrical eng hapo dit
 
Back
Top Bottom