kaka tatizo sio chuo ni cha ngapi inabebwa na masomo ya sanaa na sio engineer ata siku moja, mfano taa za barabaran usalama dar es salaal walichukuliwa wanafunzi UD wakazifunde zikawashinda wakawachukua watoto wa DIT tena diploma wakaweza hicho unajisifia ni chuoua ryt kaka bt kumbuka dit ni kama college,i mean unaweza ukalinganisha na coet udsm na wanatoa koz za uhandisi wote bt ukitaka kuongelea udsm huwez linganisha na dit..udsm ni chuo cha 15 africa na 1032 dunia bt dit haimo kabisa!
Interest yang ni ktk koz za uhandis nchni c udsm kama udsm datz y nkamention coet tu!
tatizo Mkikosa nafasi udsm ndo mnakuja hapa kuanza kuiponda Ud. .
Kuna rafiki angu amedisco ud anakuja Dit hapa. Am sure na yeye ataanza kuiponda ud siku si nyingii.
ukipitia hii thread vizuri kuna jamaaa mmoja katoa point sana pale juu.
Kwanini kile siku ni Ud vs UDOM mara ud vs . Mzumbee , ud vs Ardhi .
Kwanini ud always...??
Msilinganishe chuo kikuu na vitu vya ajabu ajabu
tena ukikukutana na alieanza diploma then degree pale pale dit anakuwa nondo balaaYawezekana ud wanachukua wanafunzi waliofanya vizuri form six,dit wanachukua wa kawaida sasa linganisha product zao,dit wako bora sana kuliko hawa vipanga wa Ud
Barabara gani. .??kaka tatizo sio chuo ni cha ngapi inabebwa na masomo ya sanaa na sio engineer ata siku moja, mfano taa za barabaran usalama dar es salaal walichukuliwa wanafunzi UD wakazifunde zikawashinda wakawachukua watoto wa DIT tena diploma wakaweza hicho unajisifia ni chuo
Duh kweli kazi ipo.wapi ni pazuri kwa kusomea na usanifu katika kozi za uhandisi(Engineering)?
I mean mwanafunz akitoka anakuwa compitent!
Mostly kwa kozi za COMPUTER ENG and ELECTRONICS & TELECOM ENG for dit and COMP N IT ENG & TELECOM ENG for udsm,coet?