Disqualification from studies

Disqualification from studies

japhe17

New Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Ndg zangu Nina shida ninaomba mnisaidie kunipa maelezo kwa anayefahamu haya maswala. Mimi nilikuwa nikisoma moja ya kati ya vyuo vikuu vinavyopatikana hapa nchini(nisingependa kukitaja). Lakini mwaka huu nilikuwa disqualified kwasababu ya discipline (disciplinary issue). Sasa ninauliza unapokuwa disqualified kwa sababu ya nidhamu kuna uwezekano wa kuomba chuo tena ukapata? Msaada jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda mahakamani kama hujalidhishwa au subiri miaka mitatu au minne kutegemea na course unayosoma
 
Labda uende TCU ukafute usajili ndipo uombe tena. Orherwise bado unaonekana mwanamfunzi

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom