Disk right protected | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Disk right protected

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ford89, Sep 20, 2012.

 1. F

  Ford89 Senior Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  KBLA YA HAPO NILIKUWA NATUMIA FLASH BILA TATIZO ILA TANGU NIINGIZE HII FLASH KTK MY COMP NDO TATIZO LA DISK RIGHT PROTECTED LIMEANZA
  YAANI SIWEZI KUWEKA DATA WALA KUCHUKUA DATA KWA FLASH YOYOTE NITAKAYOINGIZA...ILA NILIVYOENDA KWA MSHKAJI WANGU NA KUTEST KWAKE IKAKUBALI KUFORMAT ILA KUIRUDISHA KWANGU TATIZO LIKAENDELEA.FLASH ILIONZISHA HILO BALAA IMENDIKWA china medicine...sino africa partnership inhealth
  NAOMBA MNIFUNDISHE CHANZO CHA HILI TATIZO NA SOLUTION YAKE
   
Loading...