Msaada:ku-format write protected flash disk.

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Kuna flash ya 1GB iko write protected, ina data, video na audio ambazo naweza kuzi-play au ku-copy ila nahitaji kuzifuta.
Flash inafunguka ila inakuja error worning kwamba data ziko protected.
Je, kuna namna ya kufuta data au kuformat flash?
Please help.
 
Nawashukuru kwa msaada wenu jamani.
Kwakuwa sina ubuntu nadhani nita-download Easeus partition master then i will bring the results.
Thanks guys.
 
Check out the registry under HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM \CurrentControlSet\Control \StorageDevicePolicies. The value 'WriteProtect' should be absent or set to '0'................fanya hv mkubwa, hii nilitumia miaka mitano iliyopita, nilipata tatizo kama lako, na huwezi poteza data zako
 
Nashukuru mkuu ila nimefika mpaka "control" under it I could not find the "strorage device policies"
 
Back
Top Bottom