Msaada: naomba kufahamu namna ya kuondoa write protection on the flash disk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: naomba kufahamu namna ya kuondoa write protection on the flash disk

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by IT Guru, Jan 4, 2012.

 1. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Natumai wazima wakuu. Nina tatizo, flash disk haina kibutton chochote kwa pembeni. Zamani ilikua haileti matatizo yoyote ila imepata write protection ghafla. Siwezi kufuta kitu, siwezi ongeza kitu, pia kuformat inakataa.

  Nimetumia cmd kuformat bado imekataa.

  Nimeboot katika safemode then nikaformat kwa cmd bado imekataa.

  Nimetumia ile njia ya kuedit registry yani kwenda kwenye registry halafu string HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Control\StorageDevicePolicies na kuendelea na steps zinazofuata baada ya hapo but still tatizo lipo.

  Nimeformat kwenye OS ya ubuntu bado imekataa.

  Nimejaribu kwenye computer zaidi ya moja na bado tatizo lipo.

  Wakuu je kuna njia nyingine naweza itumia kuondoa hii write protection?


  (Brand ya flash disk ni epro)
   
 2. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Nimewahi kukutana na tatizo hilo baada ya kuchomeka flash kwenye Sony Bravia Screen, kwa kifupi sikufanikiwa kufanya chochote content zilizokuwemo ndani zilikuwa hazifutiki, huwezi add, delete wala format sikukatishi tamaa ila inawezekana ndio natural death..
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duu pole mkuu ebu tafuta jinsi ya kuishort curcuit hiyo flash kwanza au tafuta software online ya kuformat hiyo mizigo utaipata tu
   
 4. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  duh pole mkuu inawezekana kuplug flash yako kwenye sony bravia screen ndiyo imesababisha? Ila hii yangu inafunguka na kufanya kazi kama kawaida tu, I can even access the last files zilizokuwepo humu(like songs,documents) the only problem is that it is write protected
   
 5. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ahsante mkuu. Ila software kama ipi? Unaweza ukanisaidia hata majina nisearch?
   
 6. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Kusema ukweli sina hakika kilichosababisha lakini unavyoongelea ya kwako ni hivyo hivyo, data zangu zilikuwa accessible ila huwezi kuzidelete unaweza kuzikopi tu.

  Nilijaribu njia nyingi tu lakini wapi, inakuwa kama CD ambayo sio RW
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  Ebu jaribu HP format Utility:Link below

  http://www.softpedia.com/get/System/Hard-Disk-Utils/HP-USB-Disk-Storage-Format-Tool.html
   
 8. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ndiyo hata hii hivyo hivyo. Ila ngoja niihangaikie tu ikishindikana basi
   
 9. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Shukran mkuu naifanyia kazi nitakupa feedback
   
 10. Einstein

  Einstein Senior Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hebu jaribu kucheck kama hiyo flash ina ki-pin kwa pembeni, the just try to adjust the pin.. Kisukume hicho ki pin then jaribu kutumia.. Hope itaweza saidia...
   
 11. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Flash ni epro. Haina kipini wala kibutton chochote kwa pembeni mkuu
   

  Attached Files:

 12. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kuna Flash (za kizamani kidogo) zilikuwa na selector switch ya kulock, hii ya kwako ni hizi za kisasa? usikute ina hiyo switch
   
 13. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  mkuu kuna program inaitwa unlocker jaribu hiyo


  Unlocker
  is a utility program used to help you delete a file that you get one of these errror messages on:


   
 14. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hapana, sio ya kisasa ni ya zamani epro angalia attachment hapo uione.nimeigeuza pande zote hadi nimeifungua haina switch yoyote
   
 15. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Thanks for the link mkuu. Nimedownload program. Nikaitumia kufuta mafile ya kwenye flash disk. Na yakapotea yani ikasema they are successfully deleted but nikirefresh tu mafile yanarudi kwahiyo inamaana hayajafutika ila tu yalipotea temporarily
   
 16. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 17. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  thanks. Nimedownload hii program but imeshindwa kuformat. Still inasema it is write protected mkuu
   
 18. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Thanks. I have gone through the notes. But i have already used that mechanism of editing registry but it failed. Still the write protection is there in my flash disk
   
 19. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 20. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
Loading...