Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,116
- 60,849
Yaani umetafsiri mwenyewe bila kuelewa kipindi? Hata mwanangu mdogo anajua kinachoendelea
Unyang'anywe kivipi??Mimi nikinyang'anywa mke najipiga risasi
Kujiua ni haram, hairuhusiwi.Kwa wale mnaopenda kuangalia discovery channel tv mtakumbuka kwamba kuna programe yao inayoelezea njia mbalimbali zaidi ya 1,000 za kujiua, nimeona niweke Uzi huu hapa ili tujadili ni njia ipi bora ya kujiua na ni sababu ipi ya msingi inayoweza kupelekea mtu kuamua kutoa uhai wake, kwa mimi jambo linaloweza kupelekea kutoa uhai wangu ni ugonjwa ambao unatesa sana kwa maumivu na hauna tiba, kwa mfano kansa ya ubongo n.k. na njia ninayoweza kuitumia kujitoa uhai ni over dosage ya madawa ya usingiza au ya kulevya ambayo yanatumika kwa wagonjwa wenye maumivu makali. Sina mpango wa kujiua wala simshauri mtu yeyote kujiua huu ni mjadala tu.