Baadhi ya Club za Jiji la New york Marekani zimeanzisha utaratibu wa kupiga disko la mchana wakati wa lunch.
Disko linawalenga wafanyakazi. Kwa dola 14 unapata lunch na saa moja ya kuruka majoka halafu unarudi kazini.
Source: BBC SWAHILI.
MY TAKE: Na hapo Bongo vipi lianzishwe? Wanaofanya kazi pale Posta, ikifika muda wa lunch unachepuka kidogo Bilicanas na kupata lunch na kuburudisha mwili na kurudi kazini. Lakini hilo jotoo sasa.
1. Wabongo bado hatujajua kujitawala (kufuata na kuiheshimu ratiba). Tunapeleka mambo "kienyeji enyeji" tu.
2. Tu wageni ktk starehe. Ngoja tufuate hatua za ukuaji kwanza. Hizo tuwaachie waliopevuka. Hapa tuu vi bar uchwara vinafunguliwa 24/7 na wanapata wateja. Mfanyakazi anatoroka kwenda kupata moja bardi.