Dirty diana

Dirty diana

Wacko Jacko pia alisema hivyo .......kumbe maji yalikuwa marefu kwake
 
^^
Pole Kaka,,hawa akina Diana huwa nahisi wamezaliwa familia moja.
^^
 
Mlete kwangu nimfanyie counselling kabla hujamrudisha kijijini mkuu..... utu uzima dawa!!!
 
Sikutaki tena diana,huna shukrani, nilijitahidi kukupa kila kitu ili uridhike,wewe ukahadaika na dunia,ni mwanaume wa aina gani usiyemjua diana??,nimevumilia uchafu wako nimechoka,kama hii ndio zawadi ya upendo wangu wa dhati kwako nashukuru.ila kumbuka hii ni dunia diana na imeshaanza kukufunza,ulitaka maisha ya juu,ulithubutu kulala hadi na vikongwe upate pesa,ona ulivyonyauka kwa ukahaba,nasema tena sikutaki diana,we rudi kijijini ukaanze maisha mapya,mimi sikutaki#dirty diana

Vipi! Diana ulimpata humu humu ndani nn...?
 
Tehe! tehe! tehe! tehe! passion Lady acha utani mkaka wa watu inaonyesha huko aliko analia sana! sasa cjui kamuachia na gonjwa! pole warumi!

hahahaaa!! Joharia mwenzio
diana kapoteza bahati,atajiju!!
 
Last edited by a moderator:
diana yupo huku? kama wewe kidume mwambie live
 
I real like thisss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!......................
Sometimes ni better mwanaume akitendwa manake wamezoea sana kutenda wenzao..............

Hii ndo uswaz tunaita MKIA WA NYOKA...............UKIUKAMATA TU UMEUMWA......
safi sana Diana wosh ungekuwa nearby nikupongeze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom