Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

Kuna aliye fanikiwa ku verify hizi steps, kwangu bi step moja tu ya demographic information inaweka green, zingine ziko yellow nabnashindwa ko comfirm maana hamna hiyo option
 
wakuu samahan mbona taarifa zangu nimejaza kwa usahihi lakini bado inaonyesha yellow sehemu nyengine?
 
Ilo tatizo adi mimi nashindwa endelea sasa sijui wanatufanyia kusudi ili ifike deadline tuwe tumekosa
 
Mimi binafsi, nimetokea kuichukia Sana serikali
 
daah nimeingia tena hamna green hata moja[emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] zinafanya kujibadili zenyewe. Bongo bahati mbaya, mwisho wa siku utaambiwa ulikosea kujaza kumbe system yao ndo ina shida.
 
Wadau naomba ufafanuzi apo wametuambia tuambatanishe form page namba tatu ya maombi ya rufaa iyo form inapatikana wapi
 
Wengine wanaam iwa page 2 wengine page 3, halafu hiyo appeal form sehemu ya ku download haionekani
 
kama upo Dar fanya transfer chuo ulichokuwa admitd kwenda TIA hawa jamaa wanakusajili bila hata ya kulipa ada. unalipa registration cost tu elfu 85
 
Akaunt zote ndo HVO MKUU auwez ukakuta uko log out MKUU utakikuta kipengele cha kukata rufaa kabla ujaingia kwa akaunt yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…