Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

duh kamq mmm cipotez mdah kuapply wawape watoto wa shangaz zao ccc watoto wa mama ntilie tunaenda vuta bangi tuwasubir uswazi tuwakabe2
 
Mkuu force ivo ivo Mungu yupo.
 
hivi nikifanya harakati naweza pata vyeti vya vifo kweri?
 
nijaribu kuambatanisha je naweza pata mkopo maana kozi niliyochaguliwa ni bachelor of arts with education nataka nifanye mishe niambatanishe na vyeti vya vifo je naweza fanikiwa?
 
nijaribu kuambatanisha je naweza pata mkopo maana kozi niliyochaguliwa ni bachelor of arts with education nataka nifanye mishe niambatanishe na vyeti vya vifo je naweza fanikiwa?
Kama vipo basi hakikisha una vi certify RITA kabla ya ku upload, kama hamna uende ofisi za usajili wa vizazi na vifo ila kule itakuchukua muda mrefu kidogo sababu lazima wahakiki taarifa kama kweli wahusika wamefariki na watahitaji vithibitisho kama Burial permit kutoka kwa daktari
 
Hivi sisi tulioandikiwa "you're not eligible for appeal" wanamaanisha nini msaada tafadhali.
 
Hivi sisi tulioandikiwa "you're not eligible for appeal" wanamaanisha nini msaada tafadhali.
We umepata admission chuo gani boss?. Yawezekana hawana admission details zako au kuna taarifa zako wamehisi zina udanganyifu fanya kuwasiliana nao
 
Saut mwanza mkuu
Pole sana ndugu, jaribu kuwatafuta kwa simu au kwenda ofisini ili ujue reason za kuwa rejected ku appeal. Mi mwenyewe nimecheza kamali tu hapa dogo hajafanya registration halafu pia system yao ina changamoto una comfirm taarifa unapata green tock uki lovin badae unakutana na yellow tena.
 
Nashukuru nimewapata, nilifanya correction trh 4 October nika'comfirm lakini wao wanasema bado hawaja"verify mpaka jumamosi ndio nitakuwa verified.
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…