okay!BETTER WATCH YOU BACK
sawa
sijajua kiongozi mana mimi ndio natarajia kwenda huko...Hivi ATC wana hostel za kutosha kwa ajili ya wanafunzi?
Hapana, kwa mabinti ndio, Kwa hawa wengine wanatoaga upendeleo Kwanza Kwa first year.sijajua kiongozi mana mimi ndio natarajia kwenda huko...
Karibu Sana, mkuu! Hakika hutajutia kuwepo ATC.sijajua kiongozi mana mimi ndio natarajia kwenda huko...
Dirisha liko wazi Kwa sasasijajua kiongozi mana mimi ndio natarajia kwenda huko...
ahsante, na hivi? Hostel kwa boys zipo nje au?Karibu Sana, mkuu! Hakika hutajutia kuwepo ATC.
yeah mkuu, na nishafanya maombi na kwasasa nimetuma kozi ambazo moja wapo ningependa niisome na ndo nasubiri majibu.Dirisha liko wazi Kwa sasa
kwahiyo hostel kwa boys zipo nje au?Hapana, kwa mabinti ndio, Kwa hawa wengine wanatoaga upendeleo Kwanza Kwa first year.
Pia kuna hosteli za nje.
Zipo za ndani na njeekwahiyo hostel kwa boys zipo nje au?
Kila la kheri.yeah mkuu, na nishafanya maombi na kwasasa nimetuma kozi ambazo moja wapo ningependa niisome na ndo nasubiri majibu.
Hostel za ndani huwaga zinajaa, ila wanazingatiaga first year wapate nafasi Kwanza kwa hostel za ndani ya chuo.ahsante, na hivi? Hostel kwa boys zipo nje au?
ila wa mwaka wa kwanza wanakaa za ndani au?Zipo za ndani na njee
ahsante kiongozi.Kila la kheri.
sawa mkuu.Hostel za ndani huwaga zinajaa, ila wanazingatiaga first year wapate nafasi Kwanza kwa hostel za ndani ya chuo.
Ulitaja mpaka jina lako ukiwaamini wanajf 😂😂😂salumu ramadhani shamsi
Ulitaja mpaka jina lako ukiwaamini wanajf