Dirisha la maombi (appliction) ATC limefunguliwa au bado?

Shamuse_bey

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2026
Posts
467
Reaction score
601
Habari viongozi, ninataka kujiunga chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLAGE ila nataka kujua kama dirisha la maombi ya usajiri tayari au bado? na kama bado ikiwa tayari naomba mnijulishe kwa mnao jua na kuhusika ili muweze kunisaidia kijana wenu hapa.
 
Hii changamoto ya kuchanganya herufi R na L inazidi kukua kila uchao. Tunajificha kwenye kichaka cha "kikubwa si umeelewa"
 
Nenda kwenye page yao online uangalie.
 
Habari viongozi, ninataka kujiunga chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLAGE ila nataka kujua kama dilisha la maombi ya usajiri tayari au bado? na kama bado ikiwa tayari naomba mnijulishe kwa mnao jua na kuhusika ili muweze kunisaidia kijana wenu hapa.
Dilisha ni nini?
Usajiri ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…