Mimi nimegundua magnetic link ni thafi thana bana. Iko fast na accurate. Watu waanze kutumia hiyo kuliko direct links
magnetic links share mostly illegal contents, and they are slow compared to direct links.
mkuu leh hebu dadavua kidogo tuelewane
ila twende huku turudi kule ukitaka udownload kwa full speed tafuta streaming links then download kwa idm. Maana streaming haihitaji seed wala tracker, haiwi limited kwenye speed stream ni stream labda quality ipungue but speed haiwez kua limited,
Its better udownload kwao watu kama putlocker,sockshare,videoweed,veehd,gorilavid,moviereel na novanov.
Leeh hebu test kwako anza torrent yenye seeders wengiii(piratebay) then download direct http yenye speed kubwaaa (mediafire) halafau download streaming video (youtube) utaona wapi wapo vizuri
na hizo TV & Movie links unazoshare I suppose are paid for legal downloads? haha, usinifurahishe mkuu, na kusema kwamba magnetic links are slower than direct downloads ni uongo mtupu.
fastest speed on any airtel line ni 350kb/s, piga hiyo speed kwa direct downloads ndo useme maneno kama hayo. streaming is the only thing thats faster than magnetic links and thats only when you can't max out on your download speeds
huna maana na lazima utakuwa dio wale wenye roho za korosho
ila twende huku turudi kule ukitaka udownload kwa full speed tafuta streaming links then download kwa idm. Maana streaming haihitaji seed wala tracker, haiwi limited kwenye speed stream ni stream labda quality ipungue but speed haiwez kua limited,
Its better udownload kwao watu kama putlocker,sockshare,videoweed,veehd,gorilavid,moviereel na novanov.
Leeh hebu test kwako anza torrent yenye seeders wengiii(piratebay) then download direct http yenye speed kubwaaa (mediafire) halafau download streaming video (youtube) utaona wapi wapo vizuri
mi cna roho ya korosho, ila ckupost hapa sababu ckudhani kama yupo mtu ambae yuko interested. Maelezo haya ni wa kwa watumiaji wa windows zote- 1. Hakikisha una adobe flash player latest version(v.11). 2. Search google 'Orbit Downloader free download' na uclick link ya Softpedia, kisha i-download hiyo orbit downloader(ni freeware) na uinstall(wakati wa kuinstall usisahau kucheck option ya,'enable grab pro for IE. 3. Fungua IE na uende tubeplus kisha search tv show/movie uitakayo, click link yoyote ya video, then close ads halafu play video, subiri kama sekunde 30, halafu pitisha pointer hapo video inapo load/play katatokea ka-attachment kameandikwa get it, ka click itafunguka window ya kudownload, subiri paka size ya download itokee kisha click download, itaanza kudownload.
Torrents (P2P) ni njia bora ya ku share na kupata vitu kwenye internet for free, there's no other better way. Check sites kama:
1. The Pirate Bay
2. KickAssTorrents (mi fave)
3. Isohunt nk
Ukitaki file search, kama hayipo request! Oh, and until August 2012, kulikuwa na Demonoid......
MajorGeeks.com - Download Freeware and Shareware Computer Utilities.
http://1337x.org/
Browse Torrents - ExtraTorrent.com The World's Largest BitTorrent System
4shared.com - search and download music, video, photo, files, for free - 1 (search anything in the search box)
Hot Torrents
Torrent Deluxe - Torrent downloads provider
CrackedSoftware.net | Free Cracked Software , Cracked SEO Software , Free Premium Themes
Torrentbit.net - search torrents, download torrents, torrent download - NO ADS - Enjoy!
RapidOK.com - File Search Engine
who cares kama ni legal au illegal? as long as unapata movies au pirated software who really cares? wazungu ndo wanaziweka maana yake hata wao kununua ni ishu sasa sisi hata kutumia credic card wengi hatujui halafu ulete ishu za legal au illegalmagnetic links share mostly illegal contents, and they are slow compared to direct links.