Dira ya nchi yetu ni ipi?

miganaji

New Member
Nov 15, 2010
1
0
maendeleo ya nchi huletwa kwa kuwa na mipango inayoeweka vema kwa wananchi, zaman enzi za mwalimu kulikuawa na mipango ya maendeleo ya muda mfupi na mrefu kulikuwa na dira ya elimu kwa taifa.
wana JF nisaidieni, mipango na dira ya maendeleo ya nchi yetu kwa sasa ni nini?
 
dira ya NCHI chini ya UTAWALA wa CCM haieleweki, tafadhari jiunge na CHADEMA.
 
maendeleo ya nchi huletwa kwa kuwa na mipango inayoeweka vema kwa wananchi, zaman enzi za mwalimu kulikuawa na mipango ya maendeleo ya muda mfupi na mrefu kulikuwa na dira ya elimu kwa taifa.
wana JF nisaidieni, mipango na dira ya maendeleo ya nchi yetu kwa sasa ni nini?

Horace Kolimba: Serikali ya CCM haina Dira wala Mwelekeo.
 
Back
Top Bottom