Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 656
nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000.gazeti la RAI liliandika makala moja ikisema TANZANIA ITAKUWA KAMA UJERUMANI IFIKAPO 2050
Kwani 2050 tumeshafika? tutakuwa unajuaje
nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 2000.gazeti la RAI liliandika makala moja ikisema TANZANIA ITAKUWA KAMA UJERUMANI IFIKAPO 2050
Kwani 2050 tumeshafika? tutakuwa unajuaje
Katika kongamano la Taasisi za kidini nchini, lililofanyika Whitesand mgeni rasmi akiwa Dr J.M Kikwete rais wa J.M Tanzania, Waziri mwenye dhamana ya Madini yetu Prof. Muhongo ametuhakikishia kwamba kufikia mwaka 2025 Tanzania itakuwa imetoka kwenye umasikini nakuwa kwenye kiwango chakati.. Akisema kwakujiamini kuwa Kilimo ambao ndio uti wa mgongo umeshindwa kutukomboa, ufugaji umeshindwa pia, kasema yeye mtu wakanda ya Ziwa uvuvi nao haujawakomboa. Lakini Neema hii ya Gesi asilia itatutoa kwenye umasikini kwani wizara yake haina Mlarushwa, Hakuna Mhaini wala Mlaghai pale Wizarani kwake.
Kwahyo wadau tuombe Mungu mipango iende sawa.
Hiyo 2025 wewe utakuwepo? Mbona walianza kitambo tambo hizo?