Sophia Andrew
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 114
- 7
Ayaaa shemeji noma anaongelea maendeleo ya kitukuu atakapo kuwa mkubwa. Sasa hapo kila awamu ya uongozi, kiongozi ahakikishe anakuwa tajiri kuliko matajiri wote waliotangulia hadi miaka mia ipite ndo tulifikilie taifa.
Acha kupotosha alichomaanisha ni kwamba ndani ya hiyo miaka Tanzania itakuwa tayari imeendelea. co ipite ndio tuendelee. Na lazima tuangalie vizazi vijavyo ina maana mwl nyerere acngeweka misingi na malego ya mda mrefu tungekuwaje kwasasa?