Habari za siku ya leo wapendwa nimefiwa na Baba yangu mlezi,na sasa ndio naelekea Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika kesho.naomba tuzidi kuombeana.
Rest In Peace Father.Na bila shaka tupo pamoja katika kutakiana kila la Kheri katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Tulimpenda sana lakini Baba wa mbiguni alimpenda zaidi.