Dinner Interview: Mnaojua ABCs zake nijuzeni tafadhali!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Nimefuatwa na ndugu yangu mmoja mabaye amefanikiwa kuwa-shortlisted kwa ajili ya dinner interview baada ya kufanikiwa kwenye written na oral interview. Binafsi sikuwahi kupita ktk mchakato huu wa dinner interview katika tafutatafuta kazi yangu.

Kwa anayejua ABCs za hii kitu anijuze tafadhali ili niweze kumsaidia huyu ndugu yangu ktk hatua hii muhimu kwake katika kujitafutia riziki yake na ya familia yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom