Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Ktk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.Ha ha ha hizi dinii hizi
Imagine ktk mafundisho ya dini Moja ya vitu ambavyo Huwa waislam wanavyo fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko lugha zote Duniani hivyo basi ni lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo itatumika kuzungumza siku ya kiama
Na watu Wana Amini Wana weka juhudi na maarifa katika kujifunza lugha hiyo
Masikini hawajui kuwa Wameaminishwa hivyo Ili lugha hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa na kufika mbali zaidi itakuwa ni rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa zaidi
Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini
Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
Kila dini ni upagani kwa dini ya mwingine..Ww sio muislam, acha chuki kma umeona upagani ndo dili usudharau wenzio
Wajinga ndio waliwao.Ktk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.
Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?
!! Akili mtu wangu !!
Kuti fiki ugwe?!Toka nianze kujitambua nimeacha hata kwenda kanisani nina miaka 5 sasa
Hilo jina Mohamedy limekukurupua eti?kweli uislam ni utamaduni!Ww sio muislam, acha chuki kma umeona upagani ndo dili usudharau wenzio
Duuu!Sio tu ni lugha bora, ndio lugha pekee anayoisikia na kuielewa Allah.
Ujue unamvunja mbavu Shetani kwa kicheko 😂 😂 🤣🤣 anawaambia wenzake hebu angalieni huyu eti kaacha kwenda kanisani halafu ndio anajisifu kuwa amejitambuaToka nianze kujitambua nimeacha hata kwenda kanisani nina miaka 5 sasa
Waislamu gani hao unao wazungumzia wewe hawataki kulisikia hili ulilo liandika, bali sisi Waislamu tunakushangaaa wewe kwa namna ulivyo kuwa mjinga.Ktk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.
Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?
!! Akili mtu wangu !!
Shetani alitokea wapi?Ujue unamvunja mbavu Shetani kwa kicheko 😂 😂 🤣🤣 anawaambia wenzake hebu angalieni huyu eti kaacha kwenda kanisani halafu ndio anajisifu kuwa amejitambua
SIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
Well said bro👊🏾👊🏾Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
Angalia post 33,kiarabu hata duniani tumejifunza na kukitumia,Kazini,makanisani,majumbani,mahotelini,kwa mfano neno tamu(ni kiarabu),sahani(kiarabu),sufiria(kiarabu),maakul(kiarabu),rasmi(kiarabu),katiba (kiarabu)Rasimu ya katiba(kiarabu,)Kanisa(Kiarabu,),kitubio(kiarabu),Sadaka(kiarabu),Zaka(kiarabu),Toba(kiarabu),Kitabu(kiarabu),aya(kiarabu),darasa(kiarabu),Kamusi(kiarabu) nkWazungu na Waarabu waliwaweza sana waafrika mambumbumbu kwenye suala la dini. Mtu leo hataki kuitwa Machibya eti anaona ni jina la kijinga/kichawi anaona ni vyema kuitwa Peter au Hassan. WTF
Lugha ya kiarabu,ipo katika lugha zote za duniani,na dini zote duniani wanatumia maneno ya kiarabu,kuanzia
Shimboni, Wabheja kulumba, mayo etc yametokana na nini?Angalia post 33,kiarabu hata duniani tumejifunza na kukitumia,Kazini,makanisani,majumbani,mahotelini,kwa mfano neno tamu(ni kiarabu),sahani(kiarabu),sufiria(kiarabu),maakul(kiarabu),rasmi(kiarabu),katiba (kiarabu)Rasimu ya katiba(kiarabu,)Kanisa(Kiarabu,),kitubio(kiarabu),Sadaka(kiarabu),Zaka(kiarabu),Toba(kiarabu),Kitabu(kiarabu),aya(kiarabu),darasa(kiarabu),Kamusi(kiarabu) nk
Hija ni mapato kwa dunia nzima.Kuanzia pale hujaji,katika nchi anayotoka,anapopanda Taxi,bajaji,daladala bodaboda,akaenda kwenye bus,akakata ticket,akapanda bus,njiani akala chakula,kwenye migahawa,wauzaji wa barabarani,mpaka anafika mji wenye Airport ya kimataifa,akalala guest,hotel lodge,akatumia pesa kwa chakula katika mji huo,mavazi,viatu nk.Makampuni ya ndege wanaongeza wafanyakazi,wakataji ticket za ndege wanapata ajira,mbali kodi watakazolipa katika viwanja vya ndege nkKtk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.
Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?
!! Akili mtu wangu !!
Nashisha.Naona umenielewaShimboni, Wabheja kulumba, mayo etc yametokana na nini?