Dini zinavyoharibu watu akili

Hili lingine tena umelileta mpaka akili ikuae sawa, ruka ruka tu.
Sasa si ujibu mwamba alikuwa anapizi hewani au vipi ? Hadith inasema alikuwa anajiona anafanya sex na wake zake kumbe sio

Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063
 
Malizia hadithi. Sasa huo siyo ugonjwa wa akili, ugonjwa wa akili ni huu ambao unao wewe.
Kwa hiyo ukilogwa ukawa kichaa sio ugonjwa wa akili? Embu weka sawa

Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063

Schizophrenia - kudhani umefanya jambo na kweli hukufanya
 
Kwa hiyo lugha ya kiroho ndo hicho kiarabu ama?


Sio kiarabu wala lugha yoyote ya duniani bali ni lugha ambayo Yeye mwenyewe Mungu anaijua, lakini haziwezi kuwa lugha hizi za kidunia.

Kumbuka kwamba inaposemwa "SIKU YA QIYAMA" haina maana ya siku kama hizi za kidunia za masaa 24 au 12, siku ya Kiyama maana yake ni zama za kiyama yaani ni zama zenye miaka mingi (Era), ni hivi; katika zama hizo watu wote duniani tutakuwa tumekufa na hapo ndipo ufufuo wa roho zetu utakapoanza, roho zitafufuliwa kutoka Barzakh au kaburi la roho na kuingizwa Akhera ambamo zitasubiri hukumu (kiyama), ni hivi; roho za watu waliokufa mapema ndizo zitakuwa za kwanza kufufuliwa mfano mtu aliyekufa miaka 4000 iliyopita roho yake itaanza kufufuliwa kutoka Barzakh na kuingia Akhera kabla ya roho ya yule aliyekufa leo, kwa maneno mengine chukua mfano wa jinsi tulivyozaliwa na kuingia duniani ndivyo hivyo hivyo roho zetu zitakavyofufuliwa kutoka Barzakh kuingia Ulimwengu wa Akhera, roho zikifika Akhera haziendi moja kwa moja kwenye hukumu (kiyama) bali zitakaa kwa muda anaoujua Mungu mwenyewe na ni katika muda huo ndipo roho zitapata mafunzo ya lugha ya mawasiliano kwa ajili ya siku ya hukumu (kiyama), kumbuka roho inafufuliwa kuingia Akhera roho hiyo inakuwa mithili ya mtoto aliyezaliwa na hivyo anafundishwa lugha na kuongea nk, ndivyo hivyo roho Mungu atazifundisha lugha ya kiroho na sio lugha hizi za kimwili za hapa duniani ambazo zipo kwa ajili ya matumizi ya hapa duniani tu.

kiarabu (Classical arabic) ni lugha kama lugha zingine zinazotusaidia katika mawasiliano hapa duniani japo kiarabu ni lugha inayojitosheleza katika kila nyanja kuliko lugha yoyote duniani na yenyewe ndio mama wa Lugha zote na ndio maana kwayo Mungu akateremsha kitabu chake Qur'an kupitia mtukufu mtume Muhammad (saw) kwani Qur'an ilipaswa kushushwa katika lugha iliyokamilika juu ya hayo yote bado kiarabu ni lugha ya kidunia kama lugha zingine.

Kama kiarabu ndio kitumike huko akhera, je ni watu wangapi wanajua hiyo lugha??, vipi viziwi ambao wao hawakujua lugha yoyote isipokuwa lugha za ishara??, je lugha zingine ni za kishenzi??
 
siku ya Qiyama wote tutazungumza lugha moja

Sent using Jamii Forums mobile app


Tutafundishwa lugha moja ambayo kwayo tutawasiliana na Mungu na sisi wenyewe, isitoshe hiyo lugha ndio tutasima nayo katika siku ya kiyama (siku ya hukumu) katika (zama za Akhera) kujitetea mbele ya Mungu.--- haitakuwa Lugha ya aina yoyote kati ya lugha hizi za duniani.
 
Weka nukuu ya maandiko
 
Wela nukuu ya andiko
 
Hili lingine katika muendelezo wako wa kuandika uongo na kuleta maana ambazo hazipo.

Hapa nafunga mjadala rasmi, ukiwa na hoja mpya utansitua.
 
Sasa kudhani jambo fulani katika hali isiyo kuwa yenyeww ni ukichaa ? Kijana hili litakupa shida mpaka unakufa.

Kazi yangu nimemaliza na mjadala nimeufunga.
 
Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini
Kwani wewe ukienda hijja huko Israel si unachangia pato lao kupitia utalii wa dini? Sasa hasira za nini?
 
Wela nukuu ya andiko


Angalia Jinsi Mungu anachosema hapa katika hii aya:-

"Na katika ishara zake ni kuumba mbingu na Ardhi na kutofautiana ndimi zenu na rangi zenu, Hakika katika hayo zipo ishara kwa wajuzi"

(Qur'an 30:22)

"-- kutofautiana ndimi zenu--", hapa maana yake ni kutofautiana lugha zenu, hii ni kwamba kutofautiana katika lugha zetu ni moja ya ishara za Mungu hapa duniani, hivyo Lugha yoyote ya hapa duniani pamoja na kuhudumu katika mawasiliano lakini ni ishara ya utukufu nk wa Mungu yaani tutambue uwepo wake na utukufu wake hapa duniani kwa Yeye kutufanya sisi tuweze kuongea lugha mbalimbali, hapo sasa tunajifunza kuwa lugha hizi ni kwa ajili ya mahitaji ya hapa hapa duniani na sio kwingineko.
 
Mtu anaambiwa akienda mbinguni anapewa wanawake 70.. kazi yake inakuwa ni kuloweka tu. Nae anashangilia 😄😂 Sasa sijui na wanawake nao wakienda mbinguni watapewa kila mmoja wanaume 70 wa kumshughulikia?
 
Addiction,[emoji849]
 
Mtu anaambiwa akienda mbinguni anapewa wanawake 70.. kazi yake inakuwa ni kuloweka tu. Nae anashangilia 😄😂 Sasa sijui na wanawake nao wakienda mbinguni watapewa kila mmoja wanaume 70 wa kumshughulikia?


Wewe ukiona kila demu huwa unawaza kuchovya tu?!!😏
 
Sasa kudhani jambo fulani katika hali isiyo kuwa yenyeww ni ukichaa ? Kijana hili litakupa shida mpaka unakufa.

Kazi yangu nimemaliza na mjadala nimeufunga.
Kisai unajua ni nani alileta uchawi duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…