Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,966
Muislamu, Jifunze Kiarabu Achana na Kiingereza. Peponi Lugha ni Kiarabu tu

dini.JPG
 
Muislamu, Jifunze Kiarabu Achana na Kiingereza. Peponi Lugha ni Kiarabu tu

View attachment 2309809
Mm mambo ya dini nilishaachana nayo toka nijue yaliyo nyuma ya dini.!!! Na nmekuwa nikiishi vzr sana sina ubaguzi wa kuwabagua watu kwa dini zao, kabila zao wala tamaduni tofauti na huko nyuma nilivyokuwa mfia dini...!!!

Sasa hapo ukimuuliza ushawahi kwenda peponi ukakuta watu wanaongea kiarabu atakwambia mtume kasema!!! Ujinga mtupu
 
Ha ha ha hizi dinii hizi

Imagine ktk mafundisho ya dini Moja ya vitu ambavyo Huwa waislam wanavyo fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko lugha zote Duniani hivyo basi ni lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo itatumika kuzungumza siku ya kiama

Na watu Wana Amini Wana weka juhudi na maarifa katika kujifunza lugha hiyo

Masikini hawajui kuwa Wameaminishwa hivyo Ili lugha hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa na kufika mbali zaidi itakuwa ni rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa zaidi

Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini

Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
 
Mambo Gani mkuu tufungue Akili aisee.
 
Mm mambo ya dini nilishaachana nayo toka nijue yaliyo nyuma ya dini.!!! Na nmekuwa nikiishi vzr sana sina ubaguzi wa kuwabagua watu kwa dini zao, kabila zao wala tamaduni tofauti na huko nyuma nilivyokuwa mfia dini...!!!

Sasa hapo ukimuuliza ushawahi kwenda peponi ukakuta watu wanaongea kiarabu atakwambia mtume kasema!!! Ujinga mtupu
Ww sio muislam, acha chuki kma umeona upagani ndo dili usudharau wenzio
 
Ha ha ha hizi dinii hizi

Imagine ktk mafundisho ya dini Moja ya vitu ambavyo Huwa waislam wanavyo fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko lugha zote Duniani hivyo basi ni lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo itatumika kuzungumza siku ya kiama

Na watu Wana Amini Wana weka juhudi na maarifa katika kujifunza lugha hiyo

Masikini hawajui kuwa Wameaminishwa hivyo Ili lugha hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa na kufika mbali zaidi itakuwa ni rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa zaidi

Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini

Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
Sio tu ni lugha bora, ndio lugha pekee anayoisikia na kuielewa Allah.
 
sasa kwa nini Mungu kawaumba watu bil+ wanaongea lugha tofauti? si angeumba watu waongee kiarabu tu... mimi siku ya mwisho ntamuomba anihukumu kiswahili. Afu bado unaweza kujifunza kiarabu na bado pepo usiione (kama kweli ipo)💔
 
Wafuasi wa dini wote hawanaga akili.

Just imagine jitu halifanyi kazi linaamini kwenye miujiza na baraka za ibrahimu wa uongo.

Majitu yanaacha madawa ya kitabibu na kukimbilia tiba za kipuuzi za hao manabii uchwara.

Jitu linamkashifu mwenzake kwa kumuita kafir&mpagani kisa dini iliyokuja kwa meli, kuna wale wapumbavu mpka waliofikia kuwatukuza wanadamu wenzao kwa kuwaita taifa teule, uteule sijui ni upi huo wakuuwa raia wasio na hatia, na kuna mpka wameaminishwa kuna miji mitakatifu huko uarabuni.

Huo wote ni upumbavu na ukosefu wa akili, washika dini wengi ni vilaza na masikini wa kutupwa, hiyo ndio main target ya waliotunga dini yaan kuhatibu akili na kuwagawanya watu ili watawalike vizuri
 
Back
Top Bottom