Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

Aya gani katika quran imefuta hiyo ndoa?

Quran si imeshushwa na mwenyezi Mungu ama kuna baadhi ya mambo katika quran yanaruhusiwa kufutwa?
Mkuu naomba kujua Kwanza
Aya gani katika quran imefuta hiyo ndoa?

Quran si imeshushwa na mwenyezi Mungu ama kuna baadhi ya mambo katika quran yanaruhusiwa kufutwa?
Wakati najibu hoja yako ya msingi nilikwambia hiyo Aya 4:24 bado wanazuoni wako kwenye mijadala mizito juu ya uhalali wake kuhusiana na Nikah Al Muttah,,,kuna ambao wanasema inazungumzia Aina ya ndoa hiyo na wengine wanasema inazungumzia Ile ndoa halisi au ya Mda mrefu....

Sikutaka kukupa details nyingi kwakuwa najua zitakuchanganya,,,,ndio maana nilikujibu Kwa uchache.

Mfano kuna mkanganyiko mkubwa Sana juu ya kudhibitika kwake au masharti yake,mfano katika ndoa ya kawaida tuliyo izoea ni lazima wawepo mashahidi na vile vile ndugu WA mke lazima watoe idhini Kwa ndoa hiyo kufungwa,Kwa Jina lingine awepo walii wake lkn ndoa hii haina mashahidi wala idhini toka Kwa ndugu WA mke,yaani mnakutana Tu wewe na mwanamke mnatamkiana kuwa mmefunga ndoa na tayar ndoa imepita.

Kwahiyo kuna wanazuoni/wasomi wa kiislamu wanasema hiyo ni Sawa na zinaa Tu!

Na kumbuka pia wanazuoni wote hawajakubaliana kama hiyo Aya tajwa kuwa je kweli inazungumzia Muttah au ndoa Ile ya Mda mrefu? Utata unakuja kwenye maneno ambayo yametumika katika hiyo Aya kuwa na maana zaidi ya moja.

Lau kuwa ingekuwa wazi kuwa ayah hiyo ni kweli inazungumzia Muttah na baadae kufutwa basi lazima ingekuja Aya nyingine ambayo ingekuwa wazi kufuta swala Hilo.

Nami nilikujibu kutokana na mitazamo na maoni ya wanazuoni.

Kwa kifupi uhalali WA hiyo ndoa ina UTATA!

Shukrani.
 
Dohhh hii sasa kali ndio kanisani kwenu mbafundishwa ivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kafir ninkafir tu na dawa yake ni kukata kichwa tu, we subiri alshabab washike inchi ndio utajua hujui[emoji1787]
Wewe kweli akili huna watu tunaishi kwa amani unaomba alishababu washike nchi kenge ww wakishika nchi wataanza na familia yako
 
Wewe kweli akili huna watu tunaishi kwa amani unaomba alishababu washike nchi kenge ww wakishika nchi wataanza na familia yako
Matusi ya nini?
Hivi nikikwambia KENGE ni mama yako utajiskiaje? Ukishindwa mjadala unapita tu sio unajibu hata usipoelewa
Au nikwambie wewe ndio huna akili au chizi unazani ni vyema?
Nani asiyeogopa alshabab?
 
Matusi ya nini?
Hivi nikikwambia KENGE ni mama yako utajiskiaje? Ukishindwa mjadala unapita tu sio unajibu hata usipoelewa
Au nikwambie wewe ndio huna akili au chizi unazani ni vyema?
Nani asiyeogopa alshabab?
Ooh! very sorry Mr. pye Chang shen ih've already learn your argument.[emoji120]
 
kama hujui Quraan nenda kajifunze usilete aya juujuu Quraan mkristo hawezi kuijua mpaka akae asomeshwe ndio atailewa ina mafumbo mengi ikiwa waislamu bado kila siku wanaisoma quraan nakuelewa wewe mwenye govi utaijuaje?
Hizi story nenda kawape mataahira wenzako. Nifundishwe nini, kwani sijui kusoma hadi nifundishwe?

Hao mataahira wenzio hawaelewi kwa sababu haijaandikwa kwa lugha wanayoifahamu, mimi nafahamu lugha iliyoandikiwa, nifunishwe nini?

Kama mungu wenu mwenyewe haelewi lugha nyingine zaidi ya kiarabu, waumini wake mtakua na akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…