Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

Ramadhan James

Safi sana. Ni ukweli Mariam ni mama wa Yesu.

Unashangaa hilo wakati Waislam tuna chapter nzima ya Qur'an inayoitwa Surat Mariam.

Mariam mama wa Yesu ni mbora kati ya wanawake wa duniani. Kumbuka hilo.

Halafu fanyia marekebisho ulipo ni quote, maneno yako umeyafanya kuwa yangu.
 
Atendae dhambi huku akicheka ataingia motoni huku akilia


Duuuuh,
Basi , itabidi nitende dhambi ambazo nitakuwa nalia wakati nazitenda ili niingie peponi nikiwa nacheka.
🙂 🙂😀😀😀😀
 
Pepo toka kwa jina la muh***d,
Pokea uzima sasa hivi simama nautembee kwa jina la muh***d,
Nakufungilia baraka za mafanikio tangu sasa kwa jina la muh***d,



Na mengine mengi kama hayo ulishayasikia kwenu? Hakuna , hilo ni jina lisilo na uwezo wowote wa kusaidia watu , stuka mkuu!

HIVI SISI NA UWEZO WOTE HUU TULIOPEWA TUANGAIKE NA JINA LISILO NA UWEZO LA KAZI GANI SASA? SHUKA LEO MAKANISANI KWA WALOKOLE UKAONE MOTO, WENZAKO WANAPONA NA KUOKOKA HUKO, IJU*AA KWENU MNAYAONA HAYO?
MUNGU GANI ASIETENDA HUYO, STUKA MKUU!
Laiti ungemjua huyo unayemtaja usingemtaja ovyoovyo....
 
Uislamu ndio dini ya maumbile bila ya makindano.

Yaani Uislamu ndio mfumo wa maisha unaokwenda sambamba na maumbile ya mwanadamu na ulimwengu wake.

Kwa mantiki hii tunaweza kusema kwa kinywa kipana kabisa kwamba Uislamu ndio dini ya jamii ya wanadamu.

Uislamu haukuitwa dini ya jamii ya wanadamu kwa kuropoka tu au kwa hamasa na jazba. Imeitwa hivyo kwa sababu zifuatazo:-

1. Imesheheni desturi zinazokubaliana na akili.

2. Ina uongofu unaouangazia na kuupa nuru moyo.

3. Inabeba maendeleo yanayofaa kwa hali, mahala na zama zote.

4. Ina sheria inayokidhi hali na mahitaji yote ya jamii katika nyanja zote za maisha.

5. Ina dhana ya usawa unaowaunganisha pamoja watu wote bila ya kujali lugha, rangi au hali zao za kimaisha.

6. Sheria yake ina dhima ya kumpa mwanadamu maisha ya amani, utulivu, raha, furaha na heshima katika nafsi, mwili, akili na mali.

Uislamu ni mfumo kamili na sahihi wa maisha unaozienea nyanja zote za maisha ya mwanadamu katika hali, mahala na zama zote.

Mfumo uliofumwa na Allah Mola Muumba ulimwengu na walimwengu kwa ajili ya waja wake na akawaleta kupitia mitume wake.

Tangu Nabii Adamu mwanadamu wa kwanza mpaka Nabii Muhamad Mtume wa mwisho.

Ili uwe ni muongozo na katiba ya kukiendesha kila kipengele cha maisha yao katika maisha haya ya mpito ya ulimwengu huu yenye dhima ya kuwaandaa na maisha ya milele ya Akhera......
 
kikubwa tu waruhusu kula kitimoto hadharani maani hii ya Saudi Arabia. tunaruhusiwa kwa kificho. japo mfungo ukianza soko lake linaporomoka
Hivi unajua kwamba soko kubwa la Kiti Moto Tanzania ni Unguja mkuu?Wewe
acha tu hizi zinazoitwa dini hizi ni viini macho tu kwa kweli.Royal Families duniani ndiko uovu uliko ota mizizi.Hivi unajua "scarlet ladies" na wapo kwa ajili gani.Mambo mengine ni ngumu kuyaongea!Princes wa Saudia ndio usiseme,wao ni wazi na machangudoa na vileo maeneo ya kujivinjari maarufu duniani kama Hawaii.
 
View attachment 526128

Watakuwa wanaswali jumapili

Watakuwa wanaswali kwa sauti za juu

Lengo ni kuwaslimisha wakristo
Hizi ni mbinu za wazi ovu za Shetani.Ni anayejiita Mkristo asiye na Roho Mtakatifu na asiyejua neno la Mungu ndiye atakayenaswa na uovu huu tu.

Hata hivyo kwa mtu mwenye akili,this shows clearly what Islam really is:a stronghold of demonic forces.
 
Uislamu ndio dini ya maumbile bila ya makindano.

Yaani Uislamu ndio mfumo wa maisha unaokwenda sambamba na maumbile ya mwanadamu na ulimwengu wake.

Kwa mantiki hii tunaweza kusema kwa kinywa kipana kabisa kwamba Uislamu ndio dini ya jamii ya wanadamu.

Uislamu haukuitwa dini ya jamii ya wanadamu kwa kuropoka tu au kwa hamasa na jazba. Imeitwa hivyo kwa sababu zifuatazo:-

1. Imesheheni desturi zinazokubaliana na akili.

2. Ina uongofu unaouangazia na kuupa nuru moyo.

3. Inabeba maendeleo yanayofaa kwa hali, mahala na zama zote.

4. Ina sheria inayokidhi hali na mahitaji yote ya jamii katika nyanja zote za maisha.

5. Ina dhana ya usawa unaowaunganisha pamoja watu wote bila ya kujali lugha, rangi au hali zao za kimaisha.

6. Sheria yake ina dhima ya kumpa mwanadamu maisha ya amani, utulivu, raha, furaha na heshima katika nafsi, mwili, akili na mali.

Uislamu ni mfumo kamili na sahihi wa maisha unaozienea nyanja zote za maisha ya mwanadamu katika hali, mahala na zama zote.

Mfumo uliofumwa na Allah Mola Muumba ulimwengu na walimwengu kwa ajili ya waja wake na akawaleta kupitia mitume wake.

Tangu Nabii Adamu mwanadamu wa kwanza mpaka Nabii Muhamad Mtume wa mwisho.

Ili uwe ni muongozo na katiba ya kukiendesha kila kipengele cha maisha yao katika maisha haya ya mpito ya ulimwengu huu yenye dhima ya kuwaandaa na maisha ya milele ya Akhera......
Hii si ni akili yako wewe ilipoishia kulingana na imani yako,hatuwezi kukushangaa
 
Hii si ni akili yako wewe ilipoishia kulingana na imani yako,hatuwezi kukushangaa
Achana nao mkuu,wako kimwili zaidi hao.No wonder they believe Mbinguni mwanaume atapewa wanawake sabini.Wanaamini kwamba Mbinguni tuna-oa !Shetani amewafumba akili zao wasijue kwamba Mbinguni we live as spiritual entities, hakuna kuoa wala kuolewa.
 
Back
Top Bottom