Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

Dini ya Kiislam yenye mfumo wa Kipentekoste yaja

WEEEEEEE........ shika adabu yako hebu niambie ni wapi kwenye bibilia pameandikwa kuwa ni marufuku kula MDUDU aka nguruwe Kitimoto??? samahani sana wacha kuingiza kitimoto kwenye mada zenu za kijinga
Walawi 11:7-8 soma soma usiache hapo ni kitimoto. Hata kukalia viti virefu a.k.a (kuweka heshma sehem flan). Biblia yetu imekataza.
 
Pepo toka kwa jina la muh***d,
Pokea uzima sasa hivi simama nautembee kwa jina la muh***d,
Nakufungilia baraka za mafanikio tangu sasa kwa jina la muh***d,



Na mengine mengi kama hayo ulishayasikia kwenu? Hakuna , hilo ni jina lisilo na uwezo wowote wa kusaidia watu , stuka mkuu!

HIVI SISI NA UWEZO WOTE HUU TULIOPEWA TUANGAIKE NA JINA LISILO NA UWEZO LA KAZI GANI SASA? SHUKA LEO MAKANISANI KWA WALOKOLE UKAONE MOTO, WENZAKO WANAPONA NA KUOKOKA HUKO, IJU*AA KWENU MNAYAONA HAYO?
MUNGU GANI ASIETENDA HUYO, STUKA MKUU!
Huyo uliyemtaja ni kiumbe kama mimi na wewe na hajawahi kuabudiwa na wala hata abudiwa na wala haombwi chochote yeye anaabudu Mungu na yeye anaomba Mungu so waislamu wote wanamuomba Mungu na sio huyo uliyemtaja
NYINYI NA DINI YENU NA SISI TUNA DINI YETU
 
Kama ambavyo kwa WAKRISTO mtu ambaye hajampokea na kukiri kama Yesu ni bwana na mwokozi wake ni MPAGANI ndivyo kwetu WAISLAMU kama wewe si katika WAISLAMU ni KAFIRI hata kama hamtaki narudia tena {kwa sauti ya juu kabisa} NYINYI NI MAKAFIRI
 
View attachment 526128

Watakuwa wanaswali jumapili

Watakuwa wanaswali kwa sauti za juu

Lengo ni kuwaslimisha wakristo
Ati watakuwa wanasali jumapili ,kuna siku Muislam anaacha kusali ?tena sio tunasali kila siku bali vipindi vitano vya fardhi bila ya kuongezea na zile sala binafsi za mja kunena na Muumba wake kwa sababu mablimbali za kunitafutia fadhila kutoka kwa mola wake .
Kwa kifupi waislam hawasali siku maalum bali ni siku zote na vipindi vingi !
 
Huyo uliyemtaja ni kiumbe kama mimi na wewe na hajawahi kuabudiwa na wala hata abudiwa na wala haombwi chochote yeye anaabudu Mungu na yeye anaomba Mungu so waislamu wote wanamuomba Mungu na sio huyo uliyemtaja
NYINYI NA DINI YENU NA SISI TUNA DINI YETU
Waendelee tu ku deal na madalali ,huyo atakuwa dalali mkuu maana wakristo hata wenyewe hawaswali bali kiongozi wao die anaswali wao huitikia tu tofauti na waislam pamoja na imam kuongoza sala lakini wote tunasali kimya kimya tena kwenye sala moja ukitoa kila mtu akasoma sura au aya tofauti!
Wenzetu mna madalali hata wa kuwafanyia tooba ati unaenda kuungama kwa mwanadamu mwenzako ambaye yeye mwenyewe yake hajayaweza!
 
Waendelee tu ku deal na madalali ,huyo atakuwa dalali mkuu maana wakristo hata wenyewe hawaswali bali kiongozi wao die anaswali wao huitikia tu tofauti na waislam pamoja na imam kuongoza sala lakini wote tunasali kimya kimya tena kwenye sala moja ukitoa kila mtu akasoma sura au aya tofauti!
Wenzetu mna madalali hata wa kuwafanyia tooba ati unaenda kuungama kwa mwanadamu mwenzako ambaye yeye mwenyewe yake hajayaweza!
Nikianza kukukemea hapa lazima maruhani yakupanda
 
Hilo gazeti lenyewe lililoripoti habari hiyo, ni la kipumbavu, hilo gazeti umeshahi liona mtaani, kwa mwenye akili ya kawaida, isiyohitaji kubsiti ili ifanye kazi, Dini ya Kiislamu tayari ipo na inaongozwa na kitabu kimoja tu cha Quran, afadhari wangeandika thehebu, angalau kidogo, ila Dini, huyo mwandishi ameandika akiwa amelewa sio kwa akili ya kawaida. Mfano mimi ninafanya biashara ya maziwa, jirani anauza soda, akaja mtu mwingine kufungua kibanda cha mziwa jirani, anampinga muuza soda au maziwa. Ivi hivi sasa huu utititili wa madhehebu wa madhehebu ya kikristo, umewafanya Waislamu kubadili imani yao, mbona wenyewe Wakristo ndiyo wanaohangaika kuhamahama makanisa. Na mpaka wengine wanauzia waumini, mfano lile Kanisa la mabati pale mbezi stand, liliokua pale jirani makaburi. Limeuzwa kwa Gwajima pamoja na waumini wake, na hivi sasa lile kanisa limebomolewa pale, mimi naamini huyu alieandika habari hii alikua amelewa, anawadanganya Wakristo kama watoto wa nyumbani, na sjui kwanini wanaamini kila kitu.
 
Serikali iangalie magazeti kama haya yanayoacha njia yake, na kwenda kwingine, yanachofanya ni uchochozi, ugomvi wa kidini ni mbaya kuliko wa kisiasa. Gazeti la kiimani lilenge zaidi kwenye kuhamasisha muumini kumcha Mungu kupitia imani yao, na kupeana habari, si husuyo Dini yao. Mkifungia mawio peke yake, na mkaona magazeti yenye kuandika hivi yataiacha salama nchi tunajidanganya.
 
Mwisho watasema hawaelekei Kibra.

Second Law of Thermodynamics haijawahi kukiacha kitu. Given enough time.
 
Kilicho nje ya Qur'an na sunna hicho kimeshatoka kwenye uislamu, hiyo mpaka hapo dini yao isiyohusiana na uislamu, uislam ni mfumo kamili wa maisha ambao ulishapangwa toka enzi, hauna marekebisho wala Mabadiliko, qur'an Ile Ile haijawahi kufanyiwa edit kuleta agano jipya, mnakazi sana wenye chuki na uislamu
 
Sasa hiyo itakuwa dini Au imani tu maana huwa tunaambiwa hata ukristo ni imani na si dini.
 
Makafiri watabaki kuwa makafiri tu.Kwa taarifa yao uislami dini iliyokamilika kuanzia nje hadi ndani.Quran imeeleza kila kitu hakuna kitu kilichoachwa yaani hata namna ya kwenda kwa jirani yako.
 
Mungu hana dini kijana. Ni upumbavu wa Muddy na Yesu ndio wanatudanganya kwamba Mungu anadini.
We hizo habari za mungu hana dini umezipata kwa njia gani? inaonekana mwenzetu una mawasiliano na mungu.

Hebu tueleze unachokijua na umekijuaje?
 
Acha hizo makafiri ndiyo akina nani? Dini waanzishe wenzako lakini wewe umekariri neno kafiri wakati miaka yote kafiri ndiyo boss wako kule Saudia marekani ndiyo boss wako kila kona tu ni wazungu jeshi lao mitambo yao ya kuchimba mafuta, hata Zanzibar kafiri ndiyo kila kitu mbona hawafurukuti? wewe usiye kafiri mbona kipindi hiki cha Ramadhan matukio ya wizi, uzinzi, Uzushi kula kiti moto yamepumgua? Tambua kuwa wewe na wenzake ndiyo makafiri wakubwa kwani wale waovu waovu kuwaits wenzao makafiri mungu huwaadhibu ndiyo maana wengi wenye kupenda kuwatusi watu huwa ni fukara sana.
Mfano mzuri wa kafiri ni wewe
 
Back
Top Bottom