Hata kumuingilia mke wako katika lengo la kutimiza haja zake unapata thawabu.Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).
Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k
Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.
imani ya kipuuzi sana hiyo. Huo ndio upagani na ukafiri wenyeweKatika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).
Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k
Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.
Nilishangaa sana eti ukifunga unasukumwa mbali na jehanamu maili 1000.Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).
Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k
Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.
Nitaleta mada za Dotto Magari na Mwinjaku baadaye.Unakaribua kuwa mzee Mohamed Said ambaye yeye kila siku ni mada za waisilamu walivyo ondolewa kwenye historia ya uhuru.
Mada za hivi zina BOA
Uislam hauhubiri maisha mapya ya mbinguni unahubiri maisha mapya ya akhera.Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).
Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k
Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.
Surah Al-A'raf (7:8-9)
Na Siku hiyo kipimo kitakuwa kwa Haki. Basi watakao kuwa na uzani mzito, hao ndio watakao fanikiwa. Na watakao kuwa na uzani khafifu, basi hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao kwa sababu ya kuzipinga Ishara zetu.
Hivi hapa vipimo vingine vya Uislamu
1. Surah Al-An'am 6:160
2. Surah Al-Baqarah, 2:261
Kabisa yani.Raha juu ya raha,
Uroda mtupu.
Akhera na mbingu ni vitu viwili tofauti , wakati Akhera kitu kikubwa itakuwa kula raha na mabikira Mbinguni itakuwq kuimba na kutukuza wewe huoni hii tofauti iliyopo?Akhera ya Waislamu ndio inamaanishwa huko huko mbinguni kwa Wakristo.