Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

Nimeipakua iko safi,ila kwa ufafanuzi zaidi kwa atakaye ifungua ataikuta kwenye tafsir ya kiingereza,hapo nenda kwenye kubadilisha lugha ya tafsir,chagua Tanzania Albaruwan tafsir ,imekaa vyema
Ni sahihi. Wakati unaifungua itakuuliza kuchangua lugha. Chagua kiswahili kwenye orodha au unaweza tafuta Swahili hapo kwenye orodha ya lugha. Pia kama ulikosea hapo mwazoni unaweza kubadili lugha ukifungua Surah yoyote kuna icon hapo juu kulia ukifungua unaweza kubadili lungha ya Tafsiri


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…