Dini ni Utamaduni wa watu fulani

sawa kabisa.

na ndo hili pia alitakiwa afanye mungu guide iwepo kila mahali

sio kumsubiri sheikh/mchungaji avuke bahari ndo alete guide .
Kati ya mnunuzi na mtumiaji yupi anahitaji user guide ya gadget?
 
Nisaidie Mkuu Tamaduni ambayo inaelezea maisha ya mtu akiwa Kaburini, na Tamaduni ambayo inaelezea maisha baada ya kifo Mkuu

Tafadhali
 
Mkuu andiko lako nimelipenda sana. Naomba nilitumie mahala
 
Vyema sana, ndio maana unaambiwa ni wajibu wako kulitafuta elimu sio elimu ikutafute wewe!

Mwenyezi Mungu ametoa Muongozo na sisi watumiaji wa hii dunia ndio wenye dhima ya kuutafuta Muongozo.
 
Nisaidie Mkuu Tamaduni ambayo inaelezea maisha ya mtu akiwa Kaburini, na Tamaduni ambayo inaelezea maisha baada ya kifo Mkuu

Tafadhali
Kama ni msomaji wa vitabu tafuta hiki, MYTHS AND LEGENDS OF THE BANTU. Kimeandikwa na Alice Werner. Humo kuna yote hayo. Wabantu waliamini nini na kusimuliana nini kuhusu hayo yote kabla ya kuja kwa tamaduni yoyote ya kigeni. Usijidharau, tuliyajua yote kabla yao mkuu.
 
Daaah,mkuu nakupa pongezi kwa Uzi huu......haya madini .tu angeyafuta na kurudisha tamaduni zetu tungefanikiwa zaidi.
 
Waswana hadi leo hii watoto wa kike hawavai sidiria na kuyaacha matiti yao wazi
Mkuu siku ya kwanza naingia Mafikeng mji mkuu Wa North West nchini south Africa , barabarani nakutana na watoto wakali chuchu saa sita yako wazi kabisa halafu watu wanapishana nao hata habari Hawana ! Nikapigwa na butwaa mpaka mmoja akanisalimia dumelang!!! Niliona raha mpaka basi ,mkuu ilinibidi nizoee na mimi nikawa siwashangai hata nikukutana nao Barabarani nawasilimia tu. Mils na tamaduni zao ni vitu vya kawaida tu. Tembelea nchi hizi, Botswana ,south Africa na Swaziland (iswathini) chuchu nje nje kabisa 😘
Nalog off
 

Yetu yanasemaje ili nianze kuyafuata ?
Nalog off
 
u
Vyema sana, ndio maana unaambiwa ni wajibu wako kulitafuta elimu sio elimu ikutafute wewe!

Mwenyezi Mungu ametoa Muongozo na sisi watumiaji wa hii dunia ndio wenye dhima ya kuutafuta Muongozo.
umekimbia mfano wako!
gadget lazima iwe na guide yake na sio kazi ya mtumiaji kuitafuta guide

sisi huu muongozo tuliletewa hatukuutafuta !

kwaivo si wetu tunatakiwa tuutafute muongozo wetu
 
Kwa hyo unataka tukubali tu aliyosema?.
Uarabu una mafundisho yake na uislam pia una mafundisho yake.
Ndo maana kuna waarabu walikuwa hawautaki uislam na kuna waarabu ni wakristo..
Ukisema uislam umecopy kwenye tamaduni za uarabu utakuwa unakosea
Mfia dini aliowasema mtoa mada.
Uzi mzito huu kama vipi tupishe

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mfia dini , mbna unapenda mabishano yasiyo na hoja ndani yake ? Mtoa mada ameeleza kinaga ubaga kuwa sisi tumeiga / tohoa tamaduni za watu ambazo zimeenda sambamba na Dini zao .
 
Bora kuwa baridi au Moto kuliko kuwa vuguvugu ukiamua kuachana nao wateme moja kwa moja sio unaenda afu hutoi sadaka.. illogical
Mimi hij kitu ilikuwa inanichanganya sana Akili....lkn baadae niliamua vyema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…