Watu wa zamani #15

Watu wa zamani #15

kafumo

Member
Joined
Aug 30, 2026
Posts
26
Reaction score
15
Tamaduni nyingi zenye hazina za thamani za kale zaidi zina elimu zake zenyewe. Lakini tamaduni za eneo flani katika sayari kiumbe dunia zinaonekana za kushangaza sana kuliko maeneo mengine.

Basi mtu unaweza kuelewa kwa urahisi mambo yote yaliyo endelea nayanayo endelea mashariki mwa bara la Afrika huko ambako kuna nchi ya Izraeli, huko kuliko nchi ya izraeli na maeneo yanayo zunguka eneo hilo.

Yapo mambo mengi ya mashariki huko.

Huko ni asili ya maandiko ya dini.
Huko kuna vita ambazo kimsingi haziishi tangu kale na hata sasa.

Huko ni kitovu cha nguvu za kiroho, sehemu ambapo mkataba wa maisha ya kimwili na ukiroho ukifanyika kwa tambiko halali ni ngumu kuvunjwa na sheria tawala za mamlaka ndogo ndogo.
 
sasa bwana kafumo kwann usigeziweka uzi mmoja?
Ninaswali juu yak
 
asante nigependa kujua watu wa zamani ni wanan? Babu zetu? Au
Watu wote wa maisha ya wakati wote kabla ya maisha haya kabla yetu, walio weka kumbukumbu za maarifa hata ambao hawakuweka kumbukumbu na wengine wote wa kipindi iko.
 
Back
Top Bottom