Dini ni Utamaduni wa watu fulani

Unajua nasoma unacho andika nakushangaa, nilipo kuwekea ile hadithi, ukadai hujui Kiingereza, hadithu iko wazi na mtume ameelezea haya mambo.

Sasa nitakuuliza nabii Issa alitumwa kwa waty wote au alitumwa kwa Wana wa Israeli ?

Ahlul fatrah ni kina nani ? Hili hupaswi kulijibu wewe bali mtume ameliweka wazi tayari. Sasa rejea hadithi na usome aya kwa kuzangatia.
 
Wakati wewe unasema kuwa hao sio wastaarabu ulikuwa una maanisha maana ipi ya ustaarabu ?
Kwasababu Children are too young to be able to consent.

Hiyo ni molestation mzee hamna ndoa hapo hata kama kitabu cha ALLAH sijui ALLAHGATOR kimesema kua ni ndoa tukufu
 
Sema: Mwenyezi Mungu angeli taka nisingeli kusomeeni, wala nisingeli kujuvyeni. Kwani nalikwisha kaa nanyi umri mzima kabla yake! Basi, je! Hamzingatii?
Ona kituko unachokiandika hapa, mfano huu ni tofauti na kile unachokiandika wewe, hapa inaonyesha tayari jambo limeshatokea kwahiyo kinachofanyika ni marejeo, mfano wako ni wajambo ambalo halijatokea na halitatokea, kwahiyo "nge" yako hapa ni ya dhana na si ya hakika.
Lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba. Subhanahu, Ametakasika na hayo! Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda atakalo.
Kwa akili yako nge hii na yako zinafanana ? Hivi vitu mbona rahisi sana kuvielewa ?

Sasa nitakuuliza je Allah ana mwana ?
 
Nge yako na nge ya katika Qur'aan ziko sawa ?

Hoja ya kushika wapi wakati hakuna hoja hapa ?
 
Umejawa hekima, subra na elimu pia. Pengine mjadala baina yako na Zurri inaweza ikawa ni heri ni asbabu ya yeye kubadilika. Mungu atie baraka na utiifu na iwe ni asbab atufungulie fahamu kwa kupitia huu mjadala.

Allah atubariki sote. Amiin.
 
Hawakosagi majibu watakuambia wewe unayejua kusoma mfafanulie huyo asiyejua kusoma
Hahaha kwanini mungu asiwafundishe yeye mwenyewe yaani kuitangaza dini yake mpaka awategemee watu !??
 
Mimi nimeamua kubaki na Mizimu yangu tu. Hao Wazungu na waarabu watanisamehe niliwashtukia zamani saana.
Kabisa
 
We ndo umeharibu kabisa sasa[emoji3][emoji3][emoji3]

Utamaduni sio sehemu ya dini, bali dini ndo sehem ya utamaduni. Rudi shule ukasome elements of culture mkuu[emoji3]
Hata mimi nimemshangaa
 
DA ahh!!!!! Huko siendi nitakuja kubaka 😂 😂 😂 😂 nje nje
 
kumbe uislam ulikuja kwa ajili ya WAARABU wa enzi ya ujinga!

uoni sisi tumebeba mzigo si wetu tumekopi tamaduni za watu

sisi tulikua na taratibu zetu kula,kuvaa,salamu,ibada

kwaio mpaka hapa uislam ulikua hautuhusu.
Well said
 
Bwana weee ..hizi dini ni utapeli 1 mkubwa sana kuwahi kutokea hapa duniani .. Waafrica tumepumbazwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…