rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,884
- 9,680
Si wanasema kwamba huwez kuswali kwa lugha tofaut na ya Arabs, hii pekee inatosha kuthibitisha Mohamed Ni kwa ajili yao tu.Kabla sijajibu tafadhali naomba kujua kuwa MBALI NA VITABU au Qurani umejuaje kuwa Muhammad alitumwa kwa waarabu pasi na kutumia vitabu ama kitabu ?
Huo ni ushahidi wa ndani ya uelewa wako.Si wanasema kwamba huwez kuswali kwa lugha tofaut na ya Arabs, hii pekee inatosha kuthibitisha Mohamed Ni kwa ajili yao tu.
Kwa hiyo Kuna ushahidi wa maandiko kuonyesha hakuwa wa waarab tu.Huo ni ushahidi wa ndani ya uelewa wako.
Ushahidi ni ule wa kimaandiko useme kuwa huyo mtu ni kwa waarabu tu.
Naam kama utakuwa upo kwa kuelewa ushahidi upo..Kwa hiyo Kuna ushahidi wa maandiko kuonyesha hakuwa wa waarab tu.
Sahih kabisa.mkuu zurri wewe unatambua fika kuwa katika kujenga hoja unatumia dalili.
Sahihi kabisa, ni wakati gani unatumia dalili ya ujumla ? Je kwa kuangalia dalili au kwa njia gani ?Na dalili tunaweza kutumia dailili ya ujumla ama dalili maalumu.
Lakini pia mtume hakufunga masiku haya kama alivyosimulia mama Aisha hadithi ipo katika Sahihi Muslimu. Sasa tutawauliza watu hao ambao unasema wamefunga na ushahidi umetujia ya kuwa mtume hakufunga masiku haya. Vipi wao wafunge masiku haya ?Mfano kuna watu wanafunga haya masiku kumi yote,ukitafuta dalili maalumu iliyosema kuwa watu wafunge masiku haya haipo hiyo dalili.
Sahihi lakini huoni kama hadithi ya mama Aisha imekuja kulivua hilo wanalo lifanya wao kwa kutuambia ya kuwa mtume hakufanya hilo ?.ila kuna dalili Ya jumla ile inayosema kuwa "katika masiku haya kumi matendo mema yanapendeza zaidi kwa Allah"
Hakuna anae kataa hilo, ila mtume hakufunga masiku yote. Sasa tutawauliza wanamfata mtume au wanafata nafsi zao maana hili ni jambo la kiibada.Kwa hiyo katika jumla ya matendo mema na hii funga inaingia pia katika matendo hayo mema pia.
Kwa jinsi navyo mjua Shaykh Muqbil bin Haadiy al Waadi'y Allah amrahamu sidhani kama ameyasema, naomba ulifanyie kazi hili ili uweke kumbu kumbu vizuri uniambie haya mabeni Shaykh ameyasema katika kitabu au katika munasaba.Ndio maana shekh muqbil Kama sikosei,akasema kuwa hasemi kama ni bidaa kufunga masiku haya ila hakuna athari wala asili kutokea huko kwa mtumee kuwa
Lafdhi hii siipingi lakini maana ya kisheria huwa inatengua maana ya kilugha. Mathalani wapo watu ambao katika Uislamu wannatambulika ya kuwa hawakufikiwa na ujumbe kabisa si kwa mitume wala kwa kinyume chake, na watu hao kila zama wapo, na Uislamu una watambua watu hao, jina kidogo limenitoka, ila nikikumbuka nitakutajia na hukmu yao ni kuwa siku ya Qiyama wataitwa watu hao na wale watoto ambao walikufa kabla ya umri wa kuandikiwa madhambi watapewa mitihani watakao faulu wataliowa pepo na watakao feli wataliowa moto.Ukiangalia vizuri utaona kuwa imetumika lafdhi ya
كل أمة
"KULLI UMMATIN"
Kwa maana ya kila Ummah.
Kilicho ivua ipo hadithi ya mama Aisha kama nilivyo kugusia huko juu, hadithi ipo katika sahihi Muslim.Na kullu inabaki kulliyah maadamu hakuna kilichokuja kuivua kullu hiyo.
Lakini Qur'aan haikutaja habari hizo, kwahiyo mtu anaye sema kwa kukata kabisa jambo ambalo limefichikana anatakiwa atupe ushahidi wa hilo, ama kuna visa vingi vya kiisrailiyaat, ambavyo vimeandika habari nyingi, na baadhi ya wanazuoni huwa wannavitumia lakini hatutakiwi kuvikubali wala kuvikataa, sababu havina uhakika na tuna vikubali vile vilivyoungwa mkono na Qur'aan na Hadithi na kinyume chake ni ukweli.Na hakuna sehemu kwenye Qurani inayosema tena kuwa kuna ummah haukufikiwa na Mtume au kuna ummah haukuwa na Mtume.
Unawajua Wanafalsafa wa kale wa Magharibi ? Hawa walikuwa kabla ya nabii Issa na kabla ya mtume kulikuwa na umma hapa,je ni mtume gani alikuwepi katika nyumati hizi kioindi ambacho hapakuwa na ujumbe ? Naona unasahau ya kuwa utume unaenda sambamba na ujumbe na historia zimenukuu hizi habari.Kwa maana hata waafrica nao walikuwa katika sehemu ya Ummah huo uliotajwa na Qurani.
Na hakuna sehemu ambayo Qur'aan inasema Afrika kulikuwa na mtume. Kwa maana hiyo utakuwa umeielewa vibaya maana ya aya kwa kulinda nganisha na uhalisia jinsi ulivyo, na Qur'aan ndiyi uhalisia wenyewe.1.Sasa je kuna sehemu inasema umma wa Waafrica hawakuwa na Mtume ?
Unakubali kuwa waafrika walikuwa ni katika hizo nyumati ?Sahih kabisa.
Sahihi kabisa, ni wakati gani unatumia dalili ya ujumla ? Je kwa kuangalia dalili au kwa njia gani ?
Lakini pia mtume hakufunga masiku haya kama alivyosimulia mama Aisha hadithi ipo katika Sahihi Muslimu. Sasa tutawauliza watu hao ambao unasema wamefunga na ushahidi umetujia ya kuwa mtume hakufunga masiku haya. Vipi wao wafunge masiku haya ?
Sahihi lakini huoni kama hadithi ya mama Aisha imekuja kulivua hilo wanalo lifanya wao kwa kutuambia ya kuwa mtume hakufanya hilo ?
Hakuna anae kataa hilo, ila mtume hakufunga masiku yote. Sasa tutawauliza wanamfata mtume au wanafata nafsi zao maana hili ni jambo la kiibada.
Kwa jinsi navyo mjua Shaykh Muqbil bin Haadiy al Waadi'y Allah amrahamu sidhani kama ameyasema, naomba ulifanyie kazi hili ili uweke kumbu kumbu vizuri uniambie haya mabeni Shaykh ameyasema katika kitabu au katika munasaba.
Lafdhi hii siipingi lakini maana ya kisheria huwa inatengua maana ya kilugha. Mathalani wapo watu ambao katika Uislamu wannatambulika ya kuwa hawakufikiwa na ujumbe kabisa si kwa mitume wala kwa kinyume chake, na watu hao kila zama wapo, na Uislamu una watambua watu hao, jina kidogo limenitoka, ila nikikumbuka nitakutajia na hukmu yao ni kuwa siku ya Qiyama wataitwa watu hao na wale watoto ambao walikufa kabla ya umri wa kuandikiwa madhambi watapewa mitihani watakao faulu wataliowa pepo na watakao feli wataliowa moto.
Kilicho ivua ipo hadithi ya mama Aisha kama nilivyo kugusia huko juu, hadithi ipo katika sahihi Muslim.
Lakini Qur'aan haikutaja habari hizo, kwahiyo mtu anaye sema kwa kukata kabisa jambo ambalo limefichikana anatakiwa atupe ushahidi wa hilo, ama kuna visa vingi vya kiisrailiyaat, ambavyo vimeandika habari nyingi, na baadhi ya wanazuoni huwa wannavitumia lakini hatutakiwi kuvikubali wala kuvikataa, sababu havina uhakika na tuna vikubali vile vilivyoungwa mkono na Qur'aan na Hadithi na kinyume chake ni ukweli.
Unawajua Wanafalsafa wa kale wa Magharibi ? Hawa walikuwa kabla ya nabii Issa na kabla ya mtume kulikuwa na umma hapa,je ni mtume gani alikuwepi katika nyumati hizi kioindi ambacho hapakuwa na ujumbe ? Naona unasahau ya kuwa utume unaenda sambamba na ujumbe na historia zimenukuu hizi habari.
Na hakuna sehemu ambayo Qur'aan inasema Afrika kulikuwa na mtume. Kwa maana hiyo utakuwa umeielewa vibaya maana ya aya kwa kulinda nganisha na uhalisia jinsi ulivyo, na Qur'aan ndiyi uhalisia wenyewe.
ndiko alikoanzia kazi yakeKabla sijajibu tafadhali naomba kujua kuwa MBALI NA VITABU au Qurani umejuaje kuwa Muhammad alitumwa kwa waarabu pasi na kutumia vitabu ama kitabu ?
Kwa jinsi navyo mjua Shaykh Muqbil bin Haadiy al Waadi'y Allah amrahamu sidhani kama ameyasema, naomba ulifanyie kazi hili ili uweke kumbu kumbu vizuri uniambie haya mabeni Shaykh ameyasema katika kitabu au katika munasaba.
Pasi na kutumia vitabu wewe mtu wa leo umejuaje kuwa huko ndiko alikoanzia kazi yake ?ndiko alikoanzia kazi yake
simuliziPasi na kutumia vitabu wewe mtu wa leo umejuaje kuwa huko ndiko alikoanzia kazi yake ?
Hao mitume ya kiafrica walipewa kitabu gani?
Unatumia dalili ya ujumla ikiwa hakuna dalili ya umaalumu.kama kuna dalili ya umaalumu basi dalili ya ujumla haifanyi kazi katika jambo hilo.Sahihi kabisa, ni wakati gani unatumia dalili ya ujumla ? Je kwa kuangalia dalili au kwa njia gani ?
Kwa matendo yake hakufunga.Lakini pia mtume hakufunga masiku haya kama alivyosimulia mama Aisha hadithi ipo katika Sahihi Muslimu. Sasa tutawauliza watu hao ambao unasema wamefunga na ushahidi umetujia ya kuwa mtume hakufunga masiku haya. Vipi wao wafunge masiku haya ?
Haijaivua kwa sababu hadithi ya mama aisha haikukanusha kuwa mtume hakusema maneno yale ya "masiku haya 10 matendo mema yanapendwa zaidi na Allah .."Kilicho ivua ipo hadithi ya mama Aisha kama nilivyo kugusia huko juu, hadithi ipo katika sahihi Muslim
simuLizi za wapi ambazo chanzo chake sio humo vitabuni ?simulizi
nadhani nimekujibusimuLizi za wapi ambazo chanzo chake sio humo vitabuni ?
Mkuu mokaze nimekuelewa.
Allah anasema "tumetuma katika kila Umma mtume awaambie watu wamuabudu Allah na wajiepushe na twaaghuti"
Bila shaka idadi ya mitume hiyo zaidi ya laki moja inaendana na akili kuwa kila uumma ulikuwa na Mtume pia..
Nadhani kwa wanaobisha hawajatafakari vizuri.
watu hao hawakufikiwa na mjumbe,haina maana ya kuwa mtume hakuwepo.Mathalani wapo watu ambao katika Uislamu wannatambulika ya kuwa hawakufikiwa na ujumbe kabisa si kwa mitume wala kwa
Kwa hiyo Qurani iliposema kuwa kila ummah ulipelekewa mjumbe sio kweli kwa unavyoona ?Unawajua Wanafalsafa wa kale wa Magharibi ? Hawa walikuwa kabla ya nabii Issa na kabla ya mtume kulikuwa na umma hapa,je ni mtume gani alikuwepi katika nyumati hizi kioindi ambacho hapakuwa na ujumbe ? Naona unasahau ya kuwa utume unaenda sambamba na ujumbe na historia zimenukuu hizi habari.
Ndo nipo nae hapa tunajadili mawili matatuShukrani sana mkuu Safuher, Tafadhali mjulishe ndugu Jurjani.
Simulizi gani ambazo hazirejei kwenye vitabu vya hilo jambo ?nadhani nimekujibu
sijapata kupitia vitabu
nimepata kupitia simulizi
nijibu na mimi swali langu pale mwanzo
Simulizi gani ambazo hazirejei kwenye vitabu vya hilo jambo ?nadhani nimekujibu
sijapata kupitia vitabu
nimepata kupitia simulizi
nijibu na mimi swali langu pale mwanzo