Nacheka sana, usipate shida, weka ushahidi bwana mdogo.
Mimi nipo hapa nasubiri huo ushahidi.
"Je yule mbwa wa vijana wa Pangoni, alikuwa jike au dume au alikuwa ana rangi gani ?" kisha ujione kwamba una akili, aisee Qur'aan haitutaki tuhoji ujinga bali tuhoji vya maana.
Ajabu mzee, huwezi kukuta adhana inapigwa kwa kiswahili
Na hapo ndio tatizo lilipo, kwanini iwe hivyo kwa islams pekeeLugha ya kiarabu kwa Waisilamu ni universal language, ni lugha inayowaunganisha Waislamu duniani kwenye ibada nk.
Unapotoa adhana kwa kiswahili lazima ujue sio kila mtu muisilamu anaweza kuwa anajua kiswahili lakini ukitoa adhana kwa kiarabu kila Muisilamu duniani pote ataelewa kuwa huo ni wito wa kwenda kuswali na anaweza kujumuika na Waisilamu wenzake kwenye swala.
Na hata kwenye swala yenyewe dua za kuswalia ni katika lugha ya kiarabu na ndiyo maana ni muhimu kwa kila Muisilamu kujifunza hizo dua na kujua maana zake katika lugha ya kiswahili ili mtu apate "gist" na "essence" ya anachofanya.
Maneno ya adhana ni haya:
1-----Allah akbar ×2 (Allah ni mkubwa).
2----Ash hadu laa ilaha illa llah×2 (Nashuhudia hapana Mungu isiookuwa Allah).
3--- Ashhadu anna Muhammada rrasulullah×2 (Nashuhudia kwamba Muhammad ni mtume wa Allah).
4---- Hayya ala swalaa×2 (Njooni kwenye swala).
5--- Hayya ala falaa×2 (Njooni kwenye ufaulu).
6---Allah akbar×2 (Allah ni mkubwa)
7----laa ilaha illa llah×1 (Hapana Mungu isipokuwa Allah).
Hao mitume wengine walikuwa wa dini gani?Qur'an inakutaka usiwe bubusa, inakutaka unaposoma aya zake uzitafakari, mfano Allah anaposema; kuna mitume amehadithia habari zao na wapo hajahadithia habari zao maana yake tunatakiwa tutafakari kwamba ni mitume gani habari zao zimehadithiwa na hizo habari ni zipi na zina faida gani kwetu??!!, na kadhalika hao mitume ambao habari zao hajizasimuliwa walikuwa mitume gani kutoka mahali gani na kwanini habari zao hazikusimuliwa nk, -- ni maswali ya aina hiyo yanayotakiwa kufanyiwa kazi na mtu mwenye AKILI.
Angalia "commentary" kumuhusu Seydna, (Mtawa, Sage) Mchamungu Luqman yanayotolewa na Watu wenye akili ili na wewe ujifunze na uondokane na Ububusa (dogmatism).
View attachment 1512908
Hapana mzee, Kama mtume mwenyewe hakuwahi kuwajua hao wengine wewe huna haja kahangaika nao, sabab hutakuja kuwajua. Na hata usipowajua haimaanishi umetumia vibaya akili yako. Sanasana utaanza kutilia mashaka hizo hizo aya.Matumizi ya akili ni kutaka kujua je hao mitume ambao mtume hakuambiwa habari zao ni mitume gani??, na walikuja wapi?? Kwa kazi gani??, usipojiuliza maswali hayo na mengine kama hayo wewe ni mfu wa akili, huna tofauti na punda abebaye vitabu asijue ndanimo kuna nini.
Kama kutumia kiarabu Ni ili tu wote tuwe sawa kwenye swala, basi ili swala ya mja iswihi sio lazma pia kitumike kiarabu tu. Kama sivyo nipe Aya inayosema Ni dhambi kutumia lugha tofaut na kiarabu kwenye kuswali.Mkuu kuhusu lugha..
Embu tafakali mara paapuuu umetua thailand ukataka uende kuabudu kidogo unadhani kama hujui ki thai kweli inaweza kuenda nao sawa kwenye ibada maana utakuwa huelewi chochote kinacho endele.
Allah ni muweza wa yote ndio maana akatuambia kwenye sala zote tutumie kiarabu na kwenye dua basi tumia lugha yeyote ile basi yeye atakusia.
Yaani leo hii chukua waislamu toka mataifa yoyote unayo yajua wewe na tena wawe wanajua lugha zao tu,waambie wamuabudu Mungu wao basi wote watafanya kitu kilekile na tena kwakuelewana bila tatizo lolote na dua itasomwa ya pamoja na wote wataelewa.
Hii ndio hekima ya lugha moja wakati wa kuabudu.
Ila kwenye dua wewe piga hata kisukuma.
Bado sijakuelewa swali lako mkuu..maana kwenye swala kikubwa ni kujua sulat fat'ha au ulitaka isomwe kwa lugha husika ya mtu.Kama kutumia kiarabu Ni ili tu wote tuwe sawa kwenye swala, basi ili swala ya mja iswihi sio lazma pia kitumike kiarabu tu. Kama sivyo nipe Aya inayosema Ni dhambi kutumia lugha tofaut na kiarabu kwenye kuswali.
Hilo swali ndiyo unatakiwa ufikirie kwa usahihi.Mjinga wewe, maneno: Afalaa taa'kiluun???, nini maana yake??
Tuliza akili kwanza, nani amesema ambaye hana akili anafikiri ?Sasa asiyekuwa na akili anaweza kutumia akili???--- wewe kweli sio mjinga tu bali ni zezeta pia.
Hujaweka ushahidi wa hao mitume ambao walikuwepo Afrika na zile nchi ulizo zitaja. Usijitoe ufahamu kijana na kupoteza muda.Ushahidi niweke mara ngapi???--- akili yako ni blind folded na huwezi kuona ushahidi kwakuwa huna macho ya kiroho unayo macho ya kimwili.
Sasa mkuu ulitaka iwe na wakina nani maana kila dini inamafundisho yake.Na hapo ndio tatizo lilipo, kwanini iwe hivyo kwa islams pekee
Sasa kama anahuruma ya kiwango hicho, kwamba chizi anaenda na mwenye nazo alkadhalika.Tena ni mjuzi kama unavyomnasibu;Wanaoingia peponi ni watu wenye akili na elimu, ni wstu waliofanya mema kwa kutumia akili, lakini Allah ni mwingi wa rehema na ukarimu na huruma yawezekana hata wasiokuwa na akili akawaingiza peponi kwa huruma yake,
Yeye Allah ndiye anayejua zaidi.
Mafundisho tofaut Ila Mungu Ni mmoja bro, huu upande wetu waislam kwanin upo kipekee? Huu utofaut wa kutumia lugha moja tu unatokana na Nini?Sasa mkuu ulitaka iwe na wakina nani maana kila dini inamafundisho yake.
Kazi kwako changanua unapona panafaa fuata kama huelewi achana nayo..
Hujaweka ushahidi wa hao mitume ambao walikuwepo Afrika na zile nchi ulizo zitaja. Usijitoe ufahamu kijana na kupoteza muda.
Mungu ni mmoja kweli,lakini unaamini Mungu wa budha,hindu na wakristo ndio Mungu wa Waislamu,hata wao wenyewe wanakataa.Mafundisho tofaut Ila Mungu Ni mmoja bro, huu upande wetu waislam kwanin upo kipekee? Huu utofaut wa kutumia lugha moja tu unatokana na Nini?
Tuonyeshe sasa ili uthibitishe ukweli wa maneno yako.Wewe ndio unajitoa ufahamu. Hata ukijifanya umelala ninajua upo macho.
Msingi wa Mada ni; je, nje ya mashariki ya kati kuna mitume wengine walifika sehemu zingine za dunia???, sehemu zingine za dunia kama huku kwetu Africa,America, Australia nk, katika zama za manabii mfano Nabii Nuhu, Yakubu, Luti, Yahya, Ibrahimu (as) nk.
Jibu ni ndiyo, kwasababu katika zama hizo katika maeneo hayo watu wakikuwepo, kanunu ya Allah ni hii kwamba; katika kila ummati alimtuma mtume, (kwa mujibu wa Qur'an).
Pia kwa mujibu wa Qur'an sio mitume wote waliotajwa pia kwa mujibu wa hadithi ya mtukufu mtume (saw) wamepita mitume 124,000 kabla yake, mitume waliotajwa ndani ya Qur'an ni 25 tu, sasa hao wengine 123,975 walikuwa mitume kwa ajili ya "majini-mbwa"??!!. Very ridiculous indeeeed.
Kusema kwamba huku kwetu hawakuja mitume ilhali watu walikuwepo ni kupingana na kanuni ya Qur'an ya kila ummat kupewa mtume na pia ni matusi kwamba Wazee wetu hawakustahili kupewa muongozo wa kiroho ili wakifanya mema waende peponi, unataka kutuaminisha upuuzi wako kwamba muongozo na pepo kipindi hicho ilikuwa ni kwa ajili ya watu wa Mashariki ya kati tu!!!--- hiyo ni imani inayoshikiliwa na "Wamanga" kwamba wazazi wao na wao pia ni bora "spiritually" kuliko watu wengine mbaya zaidi watu weusi kwa ujinga na nyie mnakumbatia upuuzi huo.
Maelezo hayo nimeyarejea kwa mtindo mwingine labda akili yako uliyoilaza itazibuka.
Hapana mzee, Kama mtume mwenyewe hakuwahi kuwajua hao wengine wewe huna haja kahangaika nao, sabab hutakuja kuwajua. Na hata usipowajua haimaanishi umetumia vibaya akili yako. Sanasana utaanza kutilia mashaka hizo hizo aya.
Hao mitume wengine walikuwa wa dini gani?
Na hapo ndio tatizo lilipo, kwanini iwe hivyo kwa islams pekee