HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Dini ndio iliyoigawa Afrika, watu Waafrika amkeni na kuachana na hizo dini ili kupata maendeleo
Ni kweli kabisa 100%.Dini ndio iliyoigawa Afrika, watu Waafrika amkeni na kuachana na hizo dini ili kupata maendeleo
HAKUNA DINI YA KWELI, HIZI NI TAASISI ZILIZOANZISHWA KUDHIBITI BINADAMUDini ndio iliyoigawa Afrika, watu Waafrika amkeni na kuachana na hizo dini ili kupata maendeleo
UKRISTO NI KAMA UZUSHI (mimi ni mkristo -Aglican high church)Dini ndio iliyoigawa Afrika, watu Waafrika amkeni na kuachana na hizo dini ili kupata maendeleo
Siyo kweli Waafrika wa kabila tofauti wanapendana kuliko dini tofauti hata wakiwa familia moja.Mbona ubaguzi wa eneo na ukabila ndio unaongoza na hausemi...
UKRISTO NI KAMA UZUSHI (mimi ni mkristo -Aglican high church)
View: https://youtu.be/_BFIRgn9OLI?t=7
Kila siku au wiki unampelekea mwanaume mwenzio hela anachangisha na kujenga,kununua gari,kula vizuri,nk je wewe huoni kuwa unajiletea umasikini,majonjwa,nk?hufanyi kazi unashinda kanisani kutwa hutengenezi matatizo hapo?Dini nikisingizio tu cha matatizo yetu,ebu niambieni dini inachangiaje wewe,kuwa na msongo wa mawazo, kushinda njaa,kuumwa,kuwa na matatizo mbalimbali??!!,, Kukosa kazi nk nk??,, inachangiaje!??
Wote nyie ni maiti mnaopumuaBora ukristo unashirikiana na kila dini,ila kuna wale wajukuu wa pedophile hao kila mwenyewe imani tofauti na yao ni kafiri hata miongoni mwao hawaminiani.
Inaonekana wewe ulikimbia somo la historia, au ulifeli, vinginevyo usingeandika mada hiyo.Dini ndio iliyoigawa Afrika, watu Waafrika amkeni na kuachana na hizo dini ili kupata maendeleo