Dini ndio iliyoigawa Afrika!!!

Dini ndio iliyoigawa Afrika!!!

Kila siku au wiki unampelekea mwanaume mwenzio hela anachangisha na kujenga,kununua gari,kula vizuri,nk je wewe huoni kuwa unajiletea umasikini,majonjwa,nk?hufanyi kazi unashinda kanisani kutwa hutengenezi matatizo hapo?

Acha ujinga wa kulishwa basi
We baki hivyo hivyo,ulazimishwi kua na imani yoyote
 
Ina maana hata hapo jirani Kenya huoni kinachoendelea?
 
Dini ndio iliyoigawa Afrika, watu Waafrika amkeni na kuachana na hizo dini ili kupata maendeleo
Mimi nimeamka, lakini dini yangu haijaigawa Afrika. Kama dini ingeigawa Afrika, wakati wa kupata uhuru, dini nayo ingerudi huko ilikotoka, na waluoileta nao wangeondoka. Mtu anayesoma historia vizuri lazima atofautishe lengo la wakoloni (kutawala), na lengo la watangazaji wa dini (kuokoa). Wakoloni walikaa mjini, na walikuwa connected na serikali za nchi walukotoka. Watangazaji wa dini walikaa vijijini, na walikuwa kivyao vyao, na wengine walifariki kutokana na kuishi katika mazingira harsh kwa afya zao, na wala serikali zao hazikuwasaidia kwa kuwatibu, etc. Wangekuwa wote wako pamoja, Ina maana wakati wa nchi zetu kujitawala hata hawa watangazaji wa dini wsngerudi kwao. Badala yake, watangazaji wa dini waliendelea kuwepo, na tunaona kule walikoanzia wenyeji wana maendeleo zaidi kulinganisha na kule ambako hawakwenda.
 
Hoja hii kwa waislam hawatakuelewa, wale wamekuwa brain washed, huwaambii kitu kuhusu allah wao
 
Hoja hii kwa waislam hawatakuelewa, wale wamekuwa brain washed, huwaambii kitu kuhusu allah wao
 

 
Back
Top Bottom