thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,456
- 1,436
Acha roho mbaya, kama ninayempenda yuko upande wa pili jeDini haileti matabaka, sisi watu ndio tunaleta matabaka. Kwani si kila mtu achukue anaempenda kutoka upande wa dini yake! Sasa ya nini uchukue kutoka upande mwingine!?
Inasemekana hicho ni kibali cha UZINIFU.Mbona utaratibu upo? Mnafunga ndoa ya serikali mnaanza kutotoa
Una hoja nzuri ijapokuwa ubaguzi wa aina hii ni tamaduni za dunia nzima. Ni hekima tu ya wazazi inayoweza kuleta mapatano.
Kama umeamua kupendana na mtu wa imani tofauti na wewe ni wazi imani yako si kipaumbele katika maisha yako na hivyo msamiati unaoitwa UZINIFU haumo kwenye kamusi yakoInasemekana hicho ni kibali cha UZINIFU.
Mbona utaratibu upo? Mnafunga ndoa ya serikali mnaanza kutotoa
Kwa nini hawapendi wakati hata ukifungia kanisani kiapo unachoapa, ni cha kiserikali na hata cheti?Watu wengi hawapendi ndoa za kiserikali halafu mzazi hayupo tayar mfunge ndoa ya hivyo au ndo ile anakuambia ukifanya hivyo ujue mm sio mzazi wako kuanzia sasa, kwa kauli kama hiyo unafikiri ni sahihi??
Usilete Ujanja hapa badili dini umfuate Mwenzio la sivyo utamkosa.
Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu...
Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na wanapendana...
Watu wanaweza kuwa katika mahusiano ya kimapenzi lakini linapokuja kwenye swala la ndoa huwa ni changamoto kwani kuna upande unaweza ukapinga kabisa hilo swala.
Natamani Dini zote zingekuwa zinashirikiana katika kila jambo hasa kwenye mahusiano kusingekuwa na kipingamizi na ingewezekana iwekwe utaratibu ambao endapo watu wenye Dini tofauti wakiwa wanapendana na wanahitaji kuishi pamoja basi zifuatwe.
Leo hii unakuta mkristo anampenda mtu wakislamu au muislamu anampemda mkristu lakini unakuta MTU wakati mwingine anashindwa akiAnza kufikiria vikwazo vya hapo mbeleni!!
Natamani Kweli kusiwe na matabaka ambayo tunakutana nayo....I hope kuna watu walishakutana na hivi vikwazo na wanaendelea kuumia!!!
Na kwanini umpende wa upande wa pili wakati wa upande wako wapo? Je ni wabaya au nini hukipendi toka kwao wakati ndio unaotakiwa uwe nao?Acha roho mbaya, kama ninayempenda yuko upande wa pili je
Kwa nini hawapendi wakati hata ukifungia kanisani kiapo unachoapa, ni cha kiserikali na hata cheti?
hakuna ndoa kati ya watu wa dini mbili tofauti bali ni uasi
Dini haileti matabaka, sisi watu ndio tunaleta matabaka. Kwani si kila mtu achukue anaempenda kutoka upande wa dini yake! Sasa ya nini uchukue kutoka upande mwingine!?
Mapenzi ni upofu bwana kwani hujui?Na kwanini umpende wa upande wa pili wakati wa upande wako wapo? Je ni wabaya au nini hukipendi toka kwao wakati ndio unaotakiwa uwe nao?