ding na mwanaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ding na mwanaaaa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by moshial, Apr 13, 2012.

 1. m

  moshial Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna Baba mmoja alimkamata mtoto fulani kwa
  kosa la kumtania kwamba anakichwa kama
  mafiga,baba yule alimchukua mpaka kwa baba
  wa mtoto yule,MAMBO YALIKUWA KAMA HIVI:
  BABA WA MTOTO: Na huyo tena,kafanya nini? BABA WA PILI:Huyu mtoto wako nimemkamata
  kwa sababu amenitania kwamba nina kichwa
  kama mafiga,na nilipomuuliza kwamba kwa nini
  ananitania hivyo akasema kwamba wewe ndiye
  ulimwambia kwamba mlikuwa mnanitania hivyo
  shuleni. Mara mtoto akadakia MTOTO:Baba huyu
  ni mwongo tu amebadili maneno,yeye ndiye
  aliniambia kwamba kuna siku walikukimbiza na
  kukubaka. Baba wa mtoto alitaka kuvunjika
  miguu
  kwa kumkimbiza jamaa .............................. .........
   
 2. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimecheka sana mkuu, ila hapo kwenye red dah, alitaka?
   
 3. m

  moshial Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa poa mkuu pamoja
   
 4. B

  BG baba Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aiseeee jamaaa anambioo....
   
 5. C

  Chassarsenal Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Issue ya kubakwa kwa mtoto wa boy ni noma, ndo mding akamaind...
   
Loading...