Dina Marios, tafuta mtu akushauri mavazi

Maajabu mnaompa ushauri na kumuona hapendezi ni wanawake;mmetafuta maoni ya wanaume mkajua tunamuonaje?haya ndio mambo yetu sisi wazee wa mizigo kama Sheikh Kipozeo;au kuna SI unit ya mwanamke awe vipi?Nyinyi endeleeni kudanganywa na diet za Mange,ukishakua na maziwa makubwa hautakiwi kujikondesha mnatakiwa mfahamu hili dada zetu,unakua kituko kama Wendy au Mange though anadai wazungu ndio wanapenda alivyo ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mna muda wa kuchezea, sasa wewe maisha yake yanakuhusu nini..!?

Mwache aishi apendavyo na impendavyo mwenzi wake..


Sent from my iPhone using Tapatalk
halafu kesho utasikia ''mambo ni mengi muda ni mchache''
 
 
Mi pia mavazi ananiachaga hoi,,na Viatu. Hajipatii kabisa kiujumla,,najiuliza au ni ule mwili?? Mana Zamani alikua anapendeza angalau Wakati hajajaa sana juu,,

kashapitwa na shamimu mwasha mama la 8020fashions..maana naye hakuaga anajua kuvaa zamani..ss hv🔥🔥
 
Mkuu....
Kwani wewe haujui kwamba wanawake wengi huwa wanapenda kupiga picha wakiwa wamegeuka...!!??
By the way, huyo Dina ni Disii wa wapi kwani...!!??
huyu DISII wa EFM mkuu hahah
 
Dinazarde
 
mwache aishi apendavyo ili mradi hazuii upatikanaji wa mkate wako wa kila siku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…